Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

Alikatizaje perimeter za usalama? ??
So many secrets in these fuckin system! !!
Hao waliomuuwa nda maplaner wa hiyo mission!! !!
Alivaa kama walinzi wavaavyo......so alionekana ni party ya system ya walinzi ....
N.b siyo lazima awe mlinzi wa barozi huyu jamaa alikuwa askari kabla ya kutimuliwa kwa kuhusika na mapinduzi ya rais kwahiyo anajua mambo ya ulinzi wa diplomatic meeting
 
Wewe unaumea amani ya Tanzania sasa unasadikika tunaichukia ccm kwasababu wezi wote bado wapo ccm

Mawazo chanja ndo kitu gani Jamii inatakiwa I jifunze kuwa ccm sio kitu wacha kunifundisha ujinga nina miaka ya kutosha kujua ccm haitutoi
sijaongelea ccm lakini...nimeongelea 'amani'. mie sijagusia huyo kiwavi jeshi hata kidogo...ILA PIA MIAKA YAKO SI MIAKA YANGU NA MIAKA YANGU SI MIAKA YAKO!!!!
 
Mstaafu kivp na wakati ni kijana huyo muuaji

Huyu dogo alihusishwa na mapinduzi yaliyo fail ya uturuki, akawa anafanya kazi kazi hapo Ubalozi wa urusi ila siku hiyo alikuwa off ndiyo alikuja kwenye huo mkutano ambao balozi alikuwa anahutubia na aliingia na kuonyesha kitambulisho chake ila hawakumkagua silaha sijui hili lilitokea vipi au ndiyo mazoea naona mange kaweka video yake kabisa
 
1599caeba291be3c33d4c118b521f602.jpg
025d9666e321fcdb30829eb18571d040.jpg
8050d3ac6a7a16337669c6bed1090805.jpg
4cb2d974fbdb98a9ab2bc3c6b5edb94f.jpg
e28cb2276c94cd2c45e4127133ad225f.jpg
798349e575f5438369cbc7ecac5c2e9c.jpg
3b4be14898ac896fa889c39e3f6e13fa.jpg
 
sijaongelea ccm lakini...nimeongelea 'amani'. mie sijagusia huyo kiwavi jeshi hata kidogo...ILA PIA MIAKA YAKO SI MIAKA YANGU NA MIAKA YANGU SI MIAKA YAKO!!!!
Amani ainaanzia kwenye uchumi wewe kijana ulete ufarasi wa kugawa milion kumi NA kufanyia mikutano ya Chama ikulu halafu niwe NA amani kakwaambia nani NA ukishika kipaza Sauti unanitusi kwanza ukipigiwa makofi ndo utaendelea kuhalalisha uharamu wa kufanyia mikutano ikulu

Nonsense tuache ujinga hatutajenga nchi kwa upuuzi km huu bado wananchi watatumia mapimbi hata tuvue nguo change
 
sijaongelea ccm lakini...nimeongelea 'amani'. mie sijagusia huyo kiwavi jeshi hata kidogo...ILA PIA MIAKA YAKO SI MIAKA YANGU NA MIAKA YANGU SI MIAKA YAKO!!!!
So what too... kama mdogo mzee akisema uvumilie
uliizani nini kwani? haya majibu yote yanahusiana NA maswali yako so utulieIMG]m[/IMG]
 
Amani ainaanzia kwenye uchumi wewe kijana ulete ufarasi wa kugawa milion kumi NA kufanyia mikutano ya Chama ikulu halafu niwe NA amani kakwaambia nani NA ukishika kipaza Sauti unanitusi kwanza ukipigiwa makofi ndo utaendelea kuhalalisha uharamu wa kufanyia mikutano ikulu

Nonsense tuache ujinga hatutajenga nchi kwa upuuzi km huu bado wananchi watatumia mapimbi hata tuvue nguo change
Mathalani sikuoni nikadirie tu kuwa una stress za kisiasa kuliko...endelea kuwachukia unaowachukia ila amani ya nchi yetu haiwezi ikalingana na kiwango chako cha chuki za kisiasa.
 
huyo gaidi angekamatwa kwanza, halafu anakatwa vipande vidogo vidogo vya nyama mpaka kifo.., hawezi uliwa kizembe hivyo
 
Back
Top Bottom