Picha: Jiji la Dar es Salaam

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
Picha:Jiji la Dar es Salaam
 

Attachments

  • IMG_1584.JPG
    IMG_1584.JPG
    57.3 KB · Views: 355
  • IMG_1585.JPG
    IMG_1585.JPG
    312 KB · Views: 416
  • IMG_1586.JPG
    IMG_1586.JPG
    50.5 KB · Views: 284
  • IMG_1587.JPG
    IMG_1587.JPG
    285.1 KB · Views: 361
  • IMG_1588.JPG
    IMG_1588.JPG
    384.8 KB · Views: 400
  • IMG_1589.JPG
    IMG_1589.JPG
    309.9 KB · Views: 431
  • IMG_1590.JPG
    IMG_1590.JPG
    391.6 KB · Views: 1,407
  • IMG_1591.JPG
    IMG_1591.JPG
    335.6 KB · Views: 640
  • IMG_1592.JPG
    IMG_1592.JPG
    179.6 KB · Views: 439
  • IMG_1593.JPG
    IMG_1593.JPG
    212.8 KB · Views: 320
  • IMG_1594.JPG
    IMG_1594.JPG
    240.5 KB · Views: 756
  • IMG_1595.JPG
    IMG_1595.JPG
    102.6 KB · Views: 616
  • IMG_1596.JPG
    IMG_1596.JPG
    171.6 KB · Views: 294
  • IMG_1597.JPG
    IMG_1597.JPG
    34.8 KB · Views: 395
  • IMG_1598.JPG
    IMG_1598.JPG
    184.7 KB · Views: 361
  • IMG_1599.JPG
    IMG_1599.JPG
    41.3 KB · Views: 270
  • IMG_1600.JPG
    IMG_1600.JPG
    79.2 KB · Views: 282
  • IMG_1601.JPG
    IMG_1601.JPG
    89.1 KB · Views: 286
  • IMG_1602.JPG
    IMG_1602.JPG
    22.3 KB · Views: 363
  • IMG_1603.JPG
    IMG_1603.JPG
    42 KB · Views: 264
Tatizo lako ni moja tu hukupaswa kuziedit maana ushaondoa uhalisia hapo, anyway wanaoishi mjini usiku ndo wanayafaidi hayo mataa,
Picha zako umezipiga vizuri sana,bravo!
 
Jiji ambalo wanaume wa huku hawana uwezo wa kuongoza mpaka waletewe wanaume wa kuwaongoza kutoka mikoani
 
Niliona picha za jiji la Mombasa picha zilikuwa bomba kuliko uonapo live hayo maeneo coz nafikaga mombasa tena town kabisa yeah ndo kazi ya digital camera hiyo

Pia digital camera inaweza kuwa imemwaminisha mtu asiewahi kufika Kampala kudhani kwamba ni bonge la jiji kumbe vumbi tu coz nimeishi pale pia lkn kwa ile thread ya picha za jiji lile zilivyokuwa zinaonekana superb wacha photographer afanye kazi yake

Nikirudi kwenye hizi picha za jiji la bwana Bashite pia nashikwa na mshangao kuona picha zilivyotulia kiasi kwa majengo na maeneo yaliyopostiwa yanaonekana beautiful kuliko yanavyoonekana mubashara
 
downloadfile-15.jpeg
downloadfile-18.jpeg
downloadfile-20.jpeg


The Dar skyline, kwa speed ya mkulu hopefully it doubles by 2030. :)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom