aiseeeeee
aiseeeeee
aiseeeeee
miss chaga ungemalizia iyo aiseeee na babayangu
Anatafuta na kama kuna walugaluga wanaoendelea kuamini kwamba bongo ina watu wema waache wafundishwe the hard way.. Once conned hawatarudia tena kufanya business transactions online with strangers..
Watu wanaamini watu kirahisi
Kuibiwa kwa style hii ni ujinga sio vyema kupindisha maneno . Kwel unachat na mtu humjui then unamtumia hela? Ni sawa na wale wanaotongoza wanawake hawawajui kwa kuona tu picha bila kujua mtu anaweza kutumia picha yeyote. Ukiibiwa kizembe namna hii unakaa tu kimya unakuwa umejifunza.Ujinga hauna mwenyewe kiongozi. Tena watu kama wewe mnaojifanya hamtapeliwi utakuja kunasa sehemu mbovu mpaka mwenyewe ushangae. Wanatapeliwa makamanda wa polisi, mawaziri hadi nchi ije kuwa wewe?!
Usijiwekee dhamana au tahadhari... kuna mghafala dadangu !! yaani Fumba fumbua wajikuta ushauwingia !! Wangapi hawakutegemea kuliwa kiurahisi hivo..... Lakaini wakala hola!!mmmmmmmmmmm,mie apana hujakula hela yangu kama sikujui hata duka,yani huo uzungu au maendeleo kawa bongo bado sanaaaaaaaaaaa,nionyeshe duka lako nije ninunue mpango wa Insta sijui mashaka gani mie apana,pesa yenyewe inatoka mbali unawacha wanao nyumbani unakwenda kazini dhiki kero ya Jam barabarani halafu pesa nikupe just like that!
apana na mungu asinijaalie....