Picha: Je ni kweli Julius Nyerere International Airport uko mchafu kiasi hiki?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,276
23,227
image-jpeg.459368


Tunahimiza watalii lakini kitu cha kwanza mgeni anakutana nacho uwanja wa ndege ni huo uchafu!
 
Tatizo ni Watanzania kutochangia mazingira kuwa masafi.

Na sio serikali kama baadhi wachangiajia watakavyokuja kutuaminisha hapa!
 
Nyani Ngabu unamambo du! hii ndo iternanational airport yetu? na lundo la miaka ya uhuru ukichagizwa na utumbuaji majipu lakini bado hali iko vile? labda sasa ajitumbue mwenyewe ndo hali ibadilike. Choo cha aibu hiki hata kwangu siwezi kuwa na choo cha aina hii kisha nikasema ni international, hebu ona vilaka vilaka na mashimi hayo Nyani Ngabu umeniharibia weekend yangu kabisa siyo siri tena.
 
Back
Top Bottom