macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,357
- 60,851
Huyu jamaa kwa kungalia uso wake ni hawa naoweza kuwaita ''pretenders''. Hawa siyo viongozi bali ni piga deals wanatumia udhaifu wa mifumo yetu ku-achieve goals zao. Wako wengi kweli kweli eg Gambo, Makonda, kule yule mwingine aliyekuwa ameiga Magufuli kunatania wanawake sana kipindi cha Magufuli jina limenitoka.... Hawa ni sumu kwenye uongozi wetu.Unaelewa maana ya muungano?
Hayo manufaa kwani ni ya wazanzibari?
Ubaguzi ni ujinga
Kuna watu hawana hata haya. Wanajikweza kijinga mpaka watoto wadogo wanashtukia. Kama siyo huyo kenge mwenyewe amepost basi ni hawara yake.Unajisifia?Rudi kwenu Zanzibar
Kama kiboko ya wajinga naye ni mjinga KIASI hiki kwisha sisi
Shaka ni sawa kabisa RCView attachment 3372082
==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze kunufaika na uwezo wake huu wa kuacha alama isiyofutika kila anapopelekwa.
View attachment 3372741
===
Taarifa yenyewe ni hii:
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameongoza viongozi mbali mbali, wadau wa maendeleo, taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyoka kimkoa wilayani Kilosa.
View attachment 3372087
Katika maadhimisho hayo DC Shaka alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Adam Kighoma Malima ambapo amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya majanga na maswahiba mbalimbali ambayo yanapelekea kuharibu utu wao mbele ya jamii sambamba na kuwakatisha tamaa katika kutimiza ndoto zao za baadae.
"Kauli mbiu ya mwaka huu ni Haki za mtoto , tulipotoka, tulipo tuendako ambayo inaitaka jamii kwa ujumla kufanya tafakuri ya kina juu ya upatikanaji wa haki za watoto tangu zilipoainishwa katika Sera ya Maendeleo ya Mtoto ya mwaka 2008" alisema Shaka
Hata hivyo Dc Shaka ameendelea kutoa msisitizo juu kuwaelimisha na kuwakumbusha wazazi, walezi na watoa huduma wote wajibu wao katika kutekeleza haki tano za msingi za mtoto ambazi ni haki ya kuishi, haki ya kuendelezwa, haki ya kulindwa,hski ya kushiriki na haki ya kutobagliwa.
"Niendelee kuwahakishia kuwa serkali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan pamoja na kuweka mazingira rafiki na shirikisha itaendelea kuhakikidha haki nilizozianisha na ulinzi wa myoyo unapatokana katika ngazi zote" Alisisitiza Shaka.
Recall:JAMII YATAKIWA KUWALINDA WATOTO DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI
===
Kilosa chakula kingiGhafla tu Shaka ameshakuwa mweupe kuliko Mheshimiwa Angela Kairuki.
RC SHAKA HAMDU SHAKAView attachment 3372082

Nawaza tu na huu usikuš¤£Au ampeleke Shinyanga
Mr .RCView attachment 3372082

Kila lenye heri ShakaView attachment 3372082

Hamna DCbora kwani hicho cheo hakitakiwi uwepo. Mkurungezi kuongozwa halmashauri na katibu tawala kuwakiisha serikali Kuu. PeriodView attachment 3372082

Watu wanashangaaHuyu kwanini wamemnyima hata u-RC tu?