PICHA: Je, DC bora ni huyu?

Sijawahi kukucheka leo nakucheka sasa tundu lissu ananini?? Yaani mie sipendagi tu mtu akinyanyanyaswa Tundu lissu hayupo robo tatu yake Magufuli . Huyu baba akishika nchi kwaheri tz
Babe, Tundu Lissu ndiyo Rais wako mtarajiwa wa Tanganyika huru. Na kama hutaki, itabidi uhamie tu huko Zanzibar kwa huyo Hamdu Shaka, na shosti yako Chura Kiziwi. Na mimi nitaendelea kubakia kwenye nchi yangu ya maziwa na asali (Tanganyika)
 
Huwa najiuliza kwanini hawa waislamu rangi mbili wana sigda lakini waarabu wenye dini hawana sigda usoni?

Ayatolla mwenyewe hana sigda huyu anaitoa wapi?
 
Babe, Tundu Lissu ndiyo Rais wako mtarajiwa wa Tanganyika huru. Na kama hutaki, itabidi uhamie tu huko Zanzibar kwa huyo Hamdu Shaka, na shosti yako Chura Kiziwi. Na mimi nitaendelea kubakia kwenye nchi yangu ya maziwa na asali (Tanganyika)
Sasa kwa mwaka nani huwa wanakuwaga na mapato mengi ya utalii so ingekuwa hawatanibagua bora zanzibar kwa sasa na huyo kenge (tundu lissu ). Akae mbali na nchi yetu akatulie huko mbali ndio maana
View: https://youtu.be/ntPpe8A_iYo?si=DOuMsYAG8k2Did80 ccm inapendezaga akiwemo baba sio mama
 
Shaka anapashwa kuwa RC Kwa namna anavyopambana huku Kilosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…