Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mzee alikosea sana ....alishindwa kuhimili tamaa za kichwa chake cha chini hat I'm a eat ameacha doa kubwa sana katika family yake .... mtu aliye pambana miaka nenda rudi kwaajili ya kujilimbikizia ukwasi wa kutosha na heshima katika jamii licha ya elimu na IQ kubwa aliyonayo Mwisho wa siku akaenda kujiingiza kwenye mambo ya kipuuzi kabisa ambayo yalistahiki kufanywa na mwana bongo flavor ....leo hii athari yake inatak kuwa maliza watu

Mnaongea tuu, wenye uwezo wa kuundeleza ukoo wa mengi ni hawa watoto mapacha, hana mjukuu kwa mtoto wake hata mmoja, nasikia sikia za kunyapia huyu mmoja mchicha mwiba huyu mwingine jiwe msaga jiwe
 
Kuna mzee nasali nae jumuia,mke wake alikufa wanae wote wanafamilia zao yupo peke yake.

Kwanza mzee yupo mwenyewe hataki mfanyakazi na hana mpango wa kuoa,pale mtaani ana nyumba tatu moja anakaa mwenyewe mbili kapangisha.

Basi yeye kazi yake ni kuvigonga visichana mtaani yaani hana mpango wa kuoa.Nakumbuka kuna kipindi turubai la jumuia lilikuwa lina lala kwake,tukaenda asubuhi,tukaambiwa na wapangaji wake hayupo,tukasubiri mpaka saa nne tukaenda tukagonga mlango wake akatoka na taulo katufungulia mlango ,hutajakaa sawa tunakiona kibinti na kitenge,tukajua mzee alikuwa na mechi.

Yaani kwa kifupi mzee anaishi maisha ya kisela yy akiwa na hamu anavuta kibinti anakifyatua,baadaye kila mtu anashika hamsini zake.

Huwezi kutegemea kitu kama mengi aishi maisha ya kihuni na uzinzi wa namna hiyo
 
Kanumba --- source ya kifo chake ni lulu

Ndikumana -- Irene uwoya

Mengi -- Jacklyn ntuyabaliwe

Ivan --- zarina Hassan

Kuna Haja sasa kwetu sisi wanaume kukaa na kujitathmini vyema ..hivi viumbe kwa namna nyingine sio watu wazuri
Mkuu umemsahau yule mtoto wa Mwakasage hapa, na yeye inasemekana yule miss alimdedisha kwa stress
 
Watu wabaya sana,mnachukua picha za matukio ya zamani mnazitumia kumuumiza mjane
Ni gere tu hakuna zaidi
 
Hiyo picha Ina shida gani? Hebu wekeni ushahidi wa maana sio imaginations
 
Mnaongea tuu, wenye uwezo wa kuundeleza ukoo wa mengi ni hawa watoto mapacha, hana mjukuu kwa mtoto wake hata mmoja, nasikia sikia za kunyapia huyu mmoja mchicha mwiba huyu mwingine jiwe msaga jiwe

Mnasingizia mtu kwa kua amechelewa kuoa, wengine wamelelewa vizuri hawawezi kuzaa nje ya ndoa
 
Mnaongea tuu, wenye uwezo wa kuundeleza ukoo wa mengi ni hawa watoto mapacha, hana mjukuu kwa mtoto wake hata mmoja, nasikia sikia za kunyapia huyu mmoja mchicha mwiba huyu mwingine jiwe msaga jiwe

Kwani hali hizo zilianza tangu wakiwa wadogo?

Maana hata hao wadogo wasipofunguliwa na kupewa malezi mema wanaweza wakawa hawaeleweki nyendo zao vile vile!

Sitaki kuamini hayo usemayo , lakini hata kama ingekuwa ni kweli basi awatakia Mungu awahurumie kisha ndugu zao wawapeleke kwenye wakafunguliwe kwenye maombi kanisani!
Wamtafute Palangyo atokae Arusha KKKT, Mchj Mtsai wa KKKT Kimara n.k

Wanahitaji kufunguliwa, Matajiri wana mambo mengi , ndo maana tunafundishwa kuepuka kutamani cha jirani maana huwezi kakipataje.

Mungu atuhurumie!
 
Back
Top Bottom