Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Valid

Member
May 7, 2019
15
62
Jamani Jamani wanazengo Leo wambea tutakufa kwa pressure maana sio kwa double breaking news za Leo , yani wakati sakata la gwajima bado likiwa bichi, Jipya laibuka kuhusu mke wa marehemu mengi akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanaume aliyetajwa kutoka nae kimapenzi anayejulikana kwa Jina la Hussein mmliki wa element bar na balozi.

A0062FCF-93AD-4224-9ED6-B7756DCC9232.jpeg


Ila wanazengo Leo nimemuangalia jacky kwenye msiba alivyo mkavu na tinted juu sijui alikua anaficha nini usoni, yan ukiangalia kwa makini utasema Madam ritha Ndo alikua mfiwa Na sio jacky, na ndio maaan hata watu walikua hawana time naye kabisa kumpa pole, yan Yale maneno ya mange yanaanza kuniingia kichwani, jacky she is a Jezebel .

Mi nilivyoona mange kataja mpaka Jina la mwanaume mpaka picha ikapostiwa pale pale mbea mie nikawa alerted there is something danger.

8C47800D-DE82-49EF-9352-FC5E1F2F7C84.jpeg


Unajua kwa stage aliyofikia mengi hakupaswa Kuwa na stress kabisa , huenda aligundua kitu kutoka kwa jacky, na kama mnavyojua babu yetu alikufa na kuoza kwa jacky, alikua aambiliki, Ila sema Ndo hivyo mapenzi upofu.

Na nimemuona regina alivyonuna wakati kabeba shada ya maua mmh yani jacky ajiandae tu kuvuliwa nguo , na kama tu ikijulikana alikua anacheat, itakula kwake hataambulia hata Mia na wamachame watamfanyia kitu mbaya atajuta maisha yake yote
IMG_6631.JPG
 
Back
Top Bottom