Picha ipi nim kaburi la kanumba?

Picha ipi nim kaburi la kanumba?

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
534907_383328588357371_100000406991972_1293110_439155183_n[1].jpg Hii ya Dina marios blog

DSC_0198.JPG Hii ya Full shangwe blog
 
ni wazi kwamba jeneza litakuwa limeshushwa kwa rollers na sio mannually kwa kamba na nguvu za watu.

So, picha ya pili.....hiyo ya dina kaitoka wapi yarabi toba!!
Yeye si ndio kinara wa kusema kwa nini watu wanatumia picha vibaya??....yeye hiyo kaitoa wapi na kuamua kwamba ni picha husika?
 
Mmoja kati yao naona alivyoona watu wengi wamejaa kwenye kaburi la kanumba na yeye kukosa chance akaenda kwenye maziko ya jirani na hapo akajipigia picha na kuipachika tu,kaumbuka
 
yaleyale ya kumdhalilisha maiti kwa kumpiga picha akiwa chumba cha kuhifadhia maiti
 
nina wasiwasi na huu mfumuko wa hizi blogspot mitaani.
 
ilimradi tu mtu aandike sentensi/post yenye jina Kanumba!...aaaaaarrrggghhhh!...
 
Hovyo kabisa ingekua ndo dina kaipata hii mweee sijui kesho kwenye kipindi chake angesemaje maana mmbeya huyu dada
 
yaleyale ya kumdhalilisha maiti kwa kumpiga picha akiwa chumba cha kuhifadhia maiti

mkuu, yeyote aliyefanya ule upuuzi na kushare kwa publicsikubaliani na alichokifanya hata kidogo.

Maiti akiandaliwa ndio anaweza kuonwa na kila mtu.
Kuweka maiti iliyo mochwari kwenye public ni kitendo cha kipumbavu na kisichojali hata hali ya marehemu....
Waswahili wanapenda sifa za kijinga sana...kwamba amepost kwenye fesibuku au sijui jf!!!
 
Bora mseme nyie viazi nikionge mie muhongo ntaambiwa katikati nina mzizi.
Yaani ilinikera sana watu hawajui kabsa maana ya maiti and they dont think critically kweli haikuwa powa kupublicyz image ya maiti kiasi kile yaani inaniuma mpaka sasa though im not fan wa kanumba.
Sikupenda watz tuna ulimbukeni sana juu ya matumizi haya ya blogs and ol these uchafu wa mitandao ya kijamii. Hawajiulizi kwanini hospitali mgonkwa akikata roho huwa anafunikwa?why wao wamemuacha wazi kiasi kila anaejisikia anapiga picha au walidhani wapo location wana act? Mh tunaelekea wapi watz.....
 
Back
Top Bottom