Inauma sana mazee, jk anaahidi maviwanja ya ndege ya kisasa, nani anauwezo wa kupanda hizo ndege na kwenda wapi?? ikiwa hata uwezo wa kununua dawa ya kutuliza homa ni homa, watanganyika tufungue majicho, kama tumelogwa siamini!!
Hao unaowaona hapo shidani wakipewa vitenge na t-shirt za kijani pambafu!! wanakuwa vipofu, sijui tuwasomeane albadili!!!
Tena unaweza kuta ni wanachama wa CCM hao na tarehe 31 oct wanakipa CCM kura.
Unajua kuna watu wanashindwa kuconnect umaskini wao kuwa unatokana na uongozi mbovu wa CCM na serikali yake.
Ndiyo taabu ya wadanganyika, mahangaiko kibao
lakini ikifika wakati wa uchaguzi
Kikofia, Jero, Khanga basi wote wamegeuka kabisa wanasema maisha si ndiyo haya.
Ni lazima tubadilike
People power...........
poleni labda mngoje bajaji za serikali zitakuja mwaka wa fedha mwaka 2019/20 wakati msichana huyu akiwa mama mzima. poa tu yeye anapata shida lakini mwanae atakuja kufaidi. Nchi hii inahitaji vision na uongozi bora... Kuna fyucha mzee
Tena unaweza kuta ni wanachama wa CCM hao na tarehe 31 oct wanakipa CCM kura.
Unajua kuna watu wanashindwa kuconnect umaskini wao kuwa unatokana na uongozi mbovu wa CCM na serikali yake.
Wanaweza ku-connect. Hawana la kufanya tu. Vyama vya upinzani vyenyewe ndio hivyo - mabingwa wa kuchochea ghasia na umwagaji damu.
Wengi wetu tunakubali kuishi maisha ya dhiki kwa amani, mpaka hapo kitakapopatikana chama cha upinzani chenye akili.:A S-frusty2: