PICHA: Inauma, wanahitaji msaada

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675




Ambulance.JPG


wheelbarrow_ambulance_harare.jpg

1.JPG



ambulance.jpg


Ambulance+ya+pikipiki.jpg
 
Hayo ndio matokeo ya kazi nzuri anayojivunia JK. Unafika mahali unawashangaa sana watu wanafiki wanaojifanya hawazioni shida hizi, na bila aibu wanaisifia na kuitukuza CCM. Nakereka sana na watu wa aina hii.
 
Natamani ningekuwa na uwezo kutengeneza posters zenye maandishi " Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania".
Kukusanya picha za maisha bora haya na kuzipachika sambamba na zile za Waheshimiwa na Mahekalu/mashangingi yao.

Chini unaandika
1.Vote CCM- Vote JK- kuyaendeleza au
2.Vote Chadema Vote Dr. Slaa- kuyabadilisha.

Posters hizo kuzibandika kila mahali, watu wezeze ku- compare & contrast
Wafanye uamuzi sahihi October 31.
 
Na bado wahaahidi watajenga Barabara za lami kuzunguka mlima kilimanjaro. Bajaji 400 Mbeya. SUBILI TUJICHANGANYE TUWAPE KURA, MWENDO MDUDO KWENYE BEMBEA NA MKEWE.
SHIDA KUBWA NI HAYA YANAYOJADILIWA HUMU KUISHAI HUMU HUMU NA HIZI PICHA NI FACTS AND FIGURES KUTHIHIRISHA KINACHOSEMWA NA HALI HALISI YA WATANZANIA WALIOWENGI.
BAYA ZAIDI NI HAO KWENYE HIZO MACHELA NA TOLOLI WAKITOKA HAPO WANAIMBA WAO NAMBALI ONE DAMU. HURUMA INAISHA HAPO HAPO.
 
selikali haina hata aibu, imefika kipindi naichukia kabisa, nikiona hata sura ya JK tu kwenye luninga, natamani kuzima tv
 
Wataletewa Bajaj 400 wakichagua CCM wataletewa Landcruser Mkonge wakichagua CHADEMA
 
Punguzeni jazba jamani na muitumie kura yenu kwa umakini siku ya kupiga kura,ila shingangai unaweza kukuta hawa hawa watanzania kwenye picha ndio watakuwa wa kwanza kusahau yaliyowakuta na kufanya makosa.
 
Hiyo picha ya mwisho huyo mama mbona kama hana nguo?.....ni mgonjwa au mgoni maana hilo kundi lote la nini sasa?....samahani lakini
 
Ccm, jk,na wale wote walioko madarakani, can you explain what "maisha bora kwa kila mtanzania means to these people"
its a shame
 
Tetesi zinaonesha kuwa hata tukipiga kura kuleta mabadiliko hakutakuwa na mshindi atakayetangazwa mbali na Jk. Sababu ni kuwa kuna wizi mkubwa umeandaliwa na CCM so inabidi tulinde kura zetu maana kuna uwezekano wa kushinda uchaguzi wa Urais na akatangazwa mwingine.
 
oooh my god inasikitisha sana kuona maisha ya wenzetu bado yako katika hali hii pasipokuwepo na tumaini lolote mbeleni.
 
hii ni miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru chini ya serikali ya sisiem.

halafu anaahidi vitu kibao ndani ya miaka mitano wkt miaka mitano iliopita hata pantoni hakununua..!


VOTE CHADEMA..!
 
Back
Top Bottom