Picha inatisha: Mwizi wa Mafuta ya transifoma

Sasa mke wake itakuaje?
bfeeb19854030704cfcca075594576b4.jpg
marehemu alikuwa bodaboda sa'kutokana na anafanya shughuli zote hatari hatari(barabarani kugongwa na magari,kama hivi kucheza na transformers)alihisi time yoyote anaweza kurudisha namba na mkewe anampenda sana so akaacha wosia kama unavyoona hapo!!!mkuu sidhani kama una swali lingine.
 
Tuanzie hapa...... hivi hayo mafuta lengo lake ni kwa shughuli/matumiz gan kwenye transfoma pia kwa huyo mwiz?
 
Mkuu uwe unaweka tahadhari kwa picha kama hizi! Duh ni hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom