Picha inatisha: Mwizi wa Mafuta ya transifoma

wanakuambia kwenye maisha kuna vitu hivi viwili kupata na kukosa!
Kukosa nako kuna mambo hayaa 2, kufa au kupona, ukipata unafurahia, ukifaa, kuna mambo hayooi mawili, uende mbinguni au motoni, ukienda mbinguni shukuru, ukienda jehanamu kuna mambo mawili.......
 
Ni hatari sana,shetani ameshamaliza kazi,anakutia ujasiri hutaki hata kuwaza kuwa unafanya kazi unayohatarisha uhai wako.
 
Hiyo ngoma hapo inaitwa 6 face siyo three face tena, shoti yake unakatika katika viungo vyote vya mwili!

Huyo wakati wa kumtoa hapo atakuwa ananukia harufu flani ya nyama mbuzi choma

Mmmmh... 3 face??? Siyo 3 phase? Au hii ni aina mpya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom