wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,590
- 29,488
- Thread starter
- #21
Inauma sanaDogo (anawaza na kujisemea kichwani mwake): Yaani sisi tumekuleza shida zetu, wewe unachati na kubugia pilau? Acha dharau kaka. Hata mimi nitakuwa kama wewe nikipambana.
Mama (kichwani ndani kwa ndani): Mjini kuna mambo sana hapa. Kweli tumejianika na mwanangu...
Jamaa anachati huku akipata mapochopocho
Sent using Jamii Forums mobile app