Lazaro na tajiriDa!?😥😥 Maisha
Nahisi ni Mme na baba wa hao wawili.
Kwamba baba amesepa home wamemsaka wakaja kumnasa hapo wanamshangaa? Jana kuna uzi humu ulisema hakuna haja ya kuoa, ila zaa tu labda moja ya matokeo ya hilo ndiyo hayaNahisi ni Mme na baba wa hao wawili.
Walioa wanaweza elewa hii picha.
Ila inasikitisha sanaVery likely huyo mama na mwanae wana shida wamekwenda kuomba msaada hapo, jamaa akaona awarekodi ili aitumie sauti kwa mambo yake.
Kwani wee uko wapi bwasheeDAH. ROHO INAUMA SANA. YAANI WATANZANIA TUMEFIKIA HAPA KWELI?
Inawezekana kabisaNahisi ni Mme na baba wa hao wawili.
Walioa wanaweza elewa hii picha.