Picha inaongea

Aug 8, 2016
98
81
5a93bc4c07f9d7daa1082f279c29f1f3.jpg
 
Asee
Sikibali mme mtukana ras wangu Trump.

Hivi magu akiwekewa vipicha kama hivoi hatanyonga mtu kweli??
 
  • Thanks
Reactions: ydn
ni kweli kabisa Donald is the most idiot man the world have ever seen
 
View attachment 476876 View attachment 476875 View attachment 476873 View attachment 476871 Hebu wacheni uzushi wenu bwanaaaa, hata kama humpendi mtu siyo kuleta mambo ya kuchonga humu
Hebu tizama hizo picha zote ni za siku moja kwenye hilo tukio moja, Je tisheti ya huyo dogo ina hayo maandishi ya kijinga..?
kwahiyo wewe mpaka umeenda kutafuta hizo picha ulijua picha aliyoweka mleta thread ni ya ukweli!? watu wengine bhana ubashite unawaandama kweli yaani...
 
View attachment 476876 View attachment 476875 View attachment 476873 View attachment 476871 Hebu wacheni uzushi wenu bwanaaaa, hata kama humpendi mtu siyo kuleta mambo ya kuchonga humu
Hebu tizama hizo picha zote ni za siku moja kwenye hilo tukio moja, Je tisheti ya huyo dogo ina hayo maandishi ya kijinga..?
Hata mimi nilipoiona hiyo picha ya mara ya kwanza nilijua ni Editing tu imefanyika.

Lakini najiuliza mtu unapata Faida gani kuanza kumchafua mwenzako?. tena mitandao?. Sheria ikichukua mkondo wake utasema amekuonea?.

Hata huyu anaesambaza hiyo picha ninawasiwasi na akili yake.
 
Back
Top Bottom