Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Sidhana kama huyo dogo anaweza kuvaa
nguo ya matusi mbele za watu hivyo
nguo ya matusi mbele za watu hivyo
Wewe ndo wale walekwahiyo wewe mpaka umeenda kutafuta hizo picha ulijua picha aliyoweka mleta thread ni ya ukweli!? watu wengine bhana ubashite unawaandama kweli yaani...
Asante sana mkuu kwa kuliona hiloNi Bashite tu ndiyo atakayeamini kuwa hiyo sio Photoshop.
Tumuulize bashiteHivi huwa mtu anapata faida gani kumchafua mwenzake kiasi hicho!!
Why? So america people who elect him they are idiots? Tuache kujifanya tunayajua ya wenzetu wakati yakwetu yanatushindani kweli kabisa Donald is the most idiot man the world have ever seen