Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Hakuna atakaependwa sana Kama Magufuli,alizikwa na Wananchi,Ila kuna watu wakifa watazikwa na Mafisadi wenzao tu
Kipindi cha Magu, Mbowe alinusurika kuuawa na risasi mojawapo ndo ilimpata yule binti Aquilina. Mbowe alibambikwa kesi na wenzake, pamoja na kuwa wote walihukumiwa,hukumu ya Mbowe ilikuwa kubwa zaidi. Mbowe amewahi kuwekwa rumande kwa zaidi ya siku Mia moja kwa kesi inayodhaminika. Kifupi awamu iliyopita na hii kwa upande wa vyama vya upinzani haswa Chadema, hawana nafuu.Hali ndio zile zile tu mkuu na ndio maana Magu hayupo ila angalia anachopitia Mbowe tu hapo utagundua mambo ni yaleyale tu, unajua hata kipindi cha Magu kuna watu kwao kilikuwa kipindi cha Neema kwao na walitamba sana watu kama wakina Polepole ila tizama sasa.
Nimeumia sana. Hasa ukiangalia aliyewatafutia mchongo ni afisa. Na kawatafuta ambao walikuwa wanaendelea na kazi zao.Ogopa sana kuona mtu unayemfahamu kuona anateseka ogopa sana ogopa ilo la Bwire linaniumiza sana ila ngoja ninyamze nisiwe iclusive bure