Picha inaeleza mengi sana hii

Picha inaeleza mengi sana hii

You're mother's rotten cunt.

Hizi nyuzi ndio zinanifanya niombe afungwe huyo Mbowe kwa chuki za kipumbavu.

Yaani narudia tena, endelezeni nyuzi za kipumbavu kuhusu Magufuli lakini mkumbuke kuwa bado anaishi kwenye mioyo ya Watanzania.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bwana luteni wa jeshi tena komandoo anawekwa na kuteswa na vipolice..dharau hizi
 
Mtu kateswa halafu hana kovu lolote. Machadema mnachekesha sana. Mlimtafuta sana urio bila mafanikio kwasbb mlijua ndiye atakaewamaliza kwenye hii kesi. Sasa mnaleta propaganda za kipuuzi
Kwanza aliyesema alimuona Urio akiteswa ni hao watuhumiwa.

..hao Chadema walikuwa wakimtafuta Urio ili iweje?.

..... Na aliyekuambia mimi Chadema nani?.....wewe utakuwa unawashwa.
 
Kupendwa au kutokupendwa kwa magufuli sijui kunahusika vip na mada yako!!?……

ila tuu nikuahakikishie siku magu anafariki watanzania wengi waliumia sana rais wao kuondoka mapema vile uku wakimuitaji maana bado walimpenda na ukizingatia huu ujinga unaondelea na rais wa sasa watu wanazidi kumkumbuka magu ndo wanampenda zaidi,

ule uongo waliokuwa wasambaza msoga gang na maadui wa magu ili tu wananchi wamchukie rais wao, mfano lissu kupigwa risasi na kuletea kuwa adui number moja wa lissu, na sasa wanaona ukweli ni upi magu kafa, sabaya yupo ndani makonda hana nguvu tena bado lisu anaogopa kurudi nyumbani .ndo wanazidi kuongeza upendo na kumkumbuka magu nakuona magu alikuwa mtu sahihi

ili magu afutike kwenye midomo ya watu ni apatikane rais bora mwenye kujali na uchungu wa nchi hii kuliko hayati magufuli.
 
Kama ni kweli aliuawa huenda jalada lake wakalifunga na kubaki kupigapiga danadana kuhusu hilo suala kama walivyofanya kwa kina Ben Saanane na Azory.
Huyu Lijenje walikamatwa pamoja na akina Bwire na wakateswa pamoja na jamaa akafa mikononi mwao. Ushahidi upo watafichaje file?
 
Hao waliokua wanaokotwa ufukweni mbona hatujawahi kuwaona au kuwasikia ndugu zao wakiwatafuta tunawasikia Chadema tu wakilalamika.
Chadema ni ng'ombe au ni watu?
 
Mtu kateswa halafu hana kovu lolote. Machadema mnachekesha sana. Mlimtafuta sana urio bila mafanikio kwasbb mlijua ndiye atakaewamaliza kwenye hii kesi. Sasa mnaleta propaganda za kipuuzi
Muulize huyo Urio kama Bado anapata mshahara? Na je January 2022 kaupata?

Ndipo uje kuleta uharo wako hapa
 
Kuna mambo yanaendelea huko. Chadema na mawakili wenu muwe makini sana.

Tundu Lissu alivyowashinda kwa hoja wakampiga risasi 38 un professional kabisa.

Mmetahadharishwa kuweni makini sana
20220130_101433.jpg
 
Ukiisoma hii mada halafu uambiwe kuna wajinga wanajiita moderator humu, huwezi kuamini!

Ok kuna siku tutashangilia pia, nafikili ndio siku mtaelewa maana ya hiki mnachokilea.
 
Ukiisoma hii mada halafu uambiwe kuna wajinga wanajiita moderator humu, huwezi kuamini!

Ok kuna siku tutashangilia pia, nafikili ndio siku mtaelewa maana ya hiki mnachokilea.
Tatizo la mada ni nini boss?
 
Hata wewe chuki zako kwa Magufuli hazikuongezei chochote.

Tunasubir hukumu tuone nani atapigwa na kitu kizito

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kumchukia mtu ambaye hayupo ni kujitesa tu.......hivyo siwezi kumchukia Magufuli.

Ila wewe kumchukia mtu ambaye hata hafahamu kama upo ni ugonjwa wa akili.
 
Huyu dogo alikuwa analia siku mwili wa Magu unaagwa pale taifa. Nilifikiria mengi sana lakini kilichokuwa kinanishangaza ni nguvu kubwa iliyokuwa inatumika kuwaaminisha watu kuwa Magu anapendwa.

Nikaanza kufuatilia matukio yaliyokuwa yanafanyika huko wilaya ya Hai, matukio ya kuharibu mashamba, kuvamia hotel mbalimbali ikiwemo Ile Aishi Machame.

Huyu dogo alisimamia kudhoofisha upinzani kwa nguvu nyingi sana tofauti na nguvu aliyonayo DC kikatiba. Hata mkuu wa mkoa alikuwa hamuheshimu kabisa ( Anna Mgwira)

Akaenda kuharibu mashamba ya Mbowe, akawasingizia wafanyabiashara wa mabasi kung'oa mataaluma ya reli, ikatumika nguvu kubwa kuuaminisha umma kuwa kweli wafanyabiashara wa mabasi wamechukizwa na kufufuliwa kwa reli hivyo wakahujumu miundombinu.

Likaja suala la kumdhuru Mbowe yeye alikuwa wa kwanza kutangaza kuwa Mbowe kaumia sababu ya kulewa konyagi.

Kifupi alifanya fujo sana Kanda ya kaskazini. Watu walinyanyasika sana.

Sasa baada ya jiwe kufa akajua tayari muda wowote atashughulikiwa. Ndicho kilichokuwa kinamliza.

Pili huyo Denis Urio, mbali na ukilaza wake alikuwa na malengo mazuri tu ya kumtafutia Mbowe walinzi. Baada ya kupatikana walinzi ikawa tishio kwa Sabaya na vibaka wenzake.

Hapo niseme tu huyo mtuhumiwa Bwire alikuwa anawatisha sana maana ni mwamba kwenye mapigano. Watu wanafahamiana kutoka kweye mafunzo mpaka kazini.

Niliwahi kumsikia mkurya mmoja huko jeshini akisema "mwana umeliona li Bwire? " Akimaanisha kwamba sasa mtu akitaka kumdhuru Mbowe, Bwire atakuwa kikwazo.

Urio kapigwa sana na kateseka sana na kifupi tangu akamatwe miezi kumi na Tisa iliyopita mishahara imefungwa na familia yake ilikuwa haijui Yuko wapi.

Nimefurahishwa sana na kitendo Cha mawakili wa utetezi kutambua kuwa Urio Yuko mahabusu.

Yote tushukuru COVID-19, yule mwehu angetumaliza.

Mungu tubariki sisi watanzania wazalendo kama Mbowe na uwalaani watanzania waovu kama kingai.

Ahsante sanaView attachment 2099653
Ogopa sana kuona mtu unayemfahamu kuona anateseka ogopa sana ogopa ilo la Bwire linaniumiza sana ila ngoja ninyamze nisiwe iclusive bure
 
Ndio alikuwa master plan wa Kila kitu, baada ya kuona Kuna walinzi mahili wamekubali kumlinda.

Na Urio hakutoa Siri kuwa yeye ndio kawatafuta akina Bwire ilikuwa Siri yake lakini baada ya taarifa kuvuja na Bwire kuonekana nyuma ya Mbowe kama board gard minong'ono ikawa mingi vikosini maana ilikuwa ni kama mwaka mmoja tu Bwire alikuwa ametoka Congo. Baada ya hapo wakafuatiliwa watu wa karibu nao ndipo akabainika Urio.

Urio kosa lake ni kukubali kuwa Shahidi wa washitaki. Naamini angewatema kuwa yeye aliwatafuta kama walinzi na angemwambia jaji kuwa nimekaririshwa Ili nije kutoa ushahidi angeonekana shujaa sana.
Urio asingefanya hivyo mkuu ..vinginevyo wangempoteza kabisaa..hii imejaa washenzi...
 
Back
Top Bottom