pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Alimpenda sana
Duuh! Kumbe hakuna aliyekuwa salama chini ya jini jiwe. Mpk wanajeshi waliisoma namba?Huko majeshini walikuwepo akina Captain Linje, huyu alipakazia sana wanajeshi wenzake kesi hizo.
Huenda Urio aliteswa sana(kuna mmoja wa washitakiwa alisema alimuona Urio aliteswa)............na amekubali awe shahidi wa washitaki kwa kuhofia kupoteza baadhi ya haki zake hivyo huwezi kumlaumu.Urio kosa lake ni kukubali kuwa Shahidi wa washitaki. Naamini angewatema kuwa yeye aliwatafuta kama walinzi na angemwambia jaji kuwa nimekaririshwa Ili nije kutoa ushahidi angeonekana shujaa sana.
KAMA RAIS WA ZAMANI WA NAMIBIAHuyu dogo alikuwa analia siku mwili wa Magu unaagwa pale taifa. Nilifikiria mengi sana lakini kilichokuwa kinanishangaza ni nguvu kubwa iliyokuwa inatumika kuwaaminisha watu kuwa Magu anapendwa.
Nikaanza kufuatilia matukio yaliyokuwa yanafanyika huko wilaya ya Hai, matukio ya kuharibu mashamba, kuvamia hotel mbalimbali ikiwemo Ile Aishi Machame.
Huyu dogo alisimamia kudhoofisha upinzani kwa nguvu nyingi sana tofauti na nguvu aliyonayo DC kikatiba. Hata mkuu wa mkoa alikuwa hamuheshimu kabisa ( Anna Mgwira)
Akaenda kuharibu mashamba ya Mbowe, akawasingizia wafanyabiashara wa mabasi kung'oa mataaluma ya reli, ikatumika nguvu kubwa kuuaminisha umma kuwa kweli wafanyabiashara wa mabasi wamechukizwa na kufufuliwa kwa reli hivyo wakahujumu miundombinu.
Likaja suala la kumdhuru Mbowe yeye alikuwa wa kwanza kutangaza kuwa Mbowe kaumia sababu ya kulewa konyagi.
Kifupi alifanya fujo sana Kanda ya kaskazini. Watu walinyanyasika sana.
Sasa baada ya jiwe kufa akajua tayari muda wowote atashughulikiwa. Ndicho kilichokuwa kinamliza.
Pili huyo Denis Urio, mbali na ukilaza wake alikuwa na malengo mazuri tu ya kumtafutia Mbowe walinzi. Baada ya kupatikana walinzi ikawa tishio kwa Sabaya na vibaka wenzake.
Hapo niseme tu huyo mtuhumiwa Bwire alikuwa anawatisha sana maana ni mwamba kwenye mapigano. Watu wanafahamiana kutoka kweye mafunzo mpaka kazini.
Niliwahi kumsikia mkurya mmoja huko jeshini akisema "mwana umeliona li Bwire? " Akimaanisha kwamba sasa mtu akitaka kumdhuru Mbowe, Bwire atakuwa kikwazo.
Urio kapigwa sana na kateseka sana na kifupi tangu akamatwe miezi kumi na Tisa iliyopita mishahara imefungwa na familia yake ilikuwa haijui Yuko wapi.
Nimefurahishwa sana na kitendo Cha mawakili wa utetezi kutambua kuwa Urio Yuko mahabusu.
Yote tushukuru COVID-19, yule mwehu angetumaliza.
Mungu tubariki sisi watanzania wazalendo kama Mbowe na uwalaani watanzania waovu kama kingai.
Ahsante sanaView attachment 2099653
Hakuna binaadamu asiyetenda maovu na ndio maana Mungu akatuwekea msamaha, kwahiyo hata wewe mkuu jichinguze maana maovu sio yale ya kumtendea binaadamu mwenzako tu hata yale yenye kukuhusu wewe na Mungu wako nayo ni maovu na tutaenda kulipwa kwahiyo unapokuwa unawahusia watu kumbuka na kujihusia na nafsi yako pia.Waliotenda maovu na wote mnaoshangilia uovu mtakuja lipa kwa uchungu.
Unamwita binaadamu mwenzio kenge?Duh kenge kwenye kundi la mamba
Kweli tushukuru Covid-19. Yule mwehu angetumaliza. Lakini unajua …. yule hakuwa mwehu tu. Alikjwa shetanu katika sura ya binadamu ….. devil incarnate!Huyu dogo alikuwa analia siku mwili wa Magu unaagwa pale taifa. Nilifikiria mengi sana lakini kilichokuwa kinanishangaza ni nguvu kubwa iliyokuwa inatumika kuwaaminisha watu kuwa Magu anapendwa.
Nikaanza kufuatilia matukio yaliyokuwa yanafanyika huko wilaya ya Hai, matukio ya kuharibu mashamba, kuvamia hotel mbalimbali ikiwemo Ile Aishi Machame.
Huyu dogo alisimamia kudhoofisha upinzani kwa nguvu nyingi sana tofauti na nguvu aliyonayo DC kikatiba. Hata mkuu wa mkoa alikuwa hamuheshimu kabisa ( Anna Mgwira)
Akaenda kuharibu mashamba ya Mbowe, akawasingizia wafanyabiashara wa mabasi kung'oa mataaluma ya reli, ikatumika nguvu kubwa kuuaminisha umma kuwa kweli wafanyabiashara wa mabasi wamechukizwa na kufufuliwa kwa reli hivyo wakahujumu miundombinu.
Likaja suala la kumdhuru Mbowe yeye alikuwa wa kwanza kutangaza kuwa Mbowe kaumia sababu ya kulewa konyagi.
Kifupi alifanya fujo sana Kanda ya kaskazini. Watu walinyanyasika sana.
Sasa baada ya jiwe kufa akajua tayari muda wowote atashughulikiwa. Ndicho kilichokuwa kinamliza.
Pili huyo Denis Urio, mbali na ukilaza wake alikuwa na malengo mazuri tu ya kumtafutia Mbowe walinzi. Baada ya kupatikana walinzi ikawa tishio kwa Sabaya na vibaka wenzake.
Hapo niseme tu huyo mtuhumiwa Bwire alikuwa anawatisha sana maana ni mwamba kwenye mapigano. Watu wanafahamiana kutoka kweye mafunzo mpaka kazini.
Niliwahi kumsikia mkurya mmoja huko jeshini akisema "mwana umeliona li Bwire? " Akimaanisha kwamba sasa mtu akitaka kumdhuru Mbowe, Bwire atakuwa kikwazo.
Urio kapigwa sana na kateseka sana na kifupi tangu akamatwe miezi kumi na Tisa iliyopita mishahara imefungwa na familia yake ilikuwa haijui Yuko wapi.
Nimefurahishwa sana na kitendo Cha mawakili wa utetezi kutambua kuwa Urio Yuko mahabusu.
Yote tushukuru COVID-19, yule mwehu angetumaliza.
Mungu tubariki sisi watanzania wazalendo kama Mbowe na uwalaani watanzania waovu kama kingai.
Ahsante sanaView attachment 2099653
Lijenje alikufa wakati wa mahojiano mbele ya akina Bwire.Huenda Urio aliteswa sana(kuna mmoja wa washitakiwa alisema alimuona Urio aliteswa)............na amekubali awe shahidi wa washitaki kwa kuhofia kupoteza baadhi ya haki zake hivyo huwezi kumlaumu.
Najiuliza kuhusu Lijenje.....je nini kilimpata huyu kijana?....mbona hayupo mahakamani?..
Ila kwa uhuni huu lazima 'karma' iwashughulikie watu fulani
Fix zilikuwa nyingi... Eti mapapai Yana Corona!Awamu ilikua ya vichaa kweli , imagine mtu anasema wameokota vichwa vya treni bandarini.
Kama ni kweli aliuawa huenda jalada lake wakalifunga na kubaki kupigapiga danadana kuhusu hilo suala kama walivyofanya kwa kina Ben Saanane na Azory.Lijenje alikufa wakati wa mahojiano mbele ya akina Bwire.
Yaani lazima kesi itafunguliwa ya kumtaka aletwe maana walikamatwa pamoja
Yanasikitisha mno.Kuna mambo yanasikitisha sana...
Lijenje anaweza kuwa Yupo naye kafichwa kama UrioLijenje alikufa wakati wa mahojiano mbele ya akina Bwire.
Yaani lazima kesi itafunguliwa ya kumtaka aletwe maana walikamatwa pamoja
We jamaa unaonekana una chuki nzito sana kwa JPM. Usichokijua ni kwamba Magu aliletwa na mungu kwasababu maalum ya kutufungua macho watz. Kazi yake ilivyoisha, mungu akamchukua kama ambavyo sisi wote tutachukuliwa wakati wetu ukifika. Wengi mnaochukia Magu ni watu waovu aliewanyoosha kisawasawa. Vyeti feki hamuwezi kumpenda magu, wapiga dili hamuwezi kumpenda Magu, wakwepa kodi hamuwezi kumpenda Magu, wanasiasa janja janja hamuwezi kumpenda Magu. Ndo maana mpaka leo kivuli chake bado kinawatesa.Mzoga wake ulilaanika. Ndiyo maana ishara mbaya ziliandamana na maziko yake. Watu 7 walifia uwanja wa taifa kwa kukanyagana, baada ya kuhamasishwa bila utaratibu na kusombwa na mabasi kwenda kuaga.
Pia, ishara mbaya ni "legacy" ya miradi yake aliyoanzisha. Yote ina kasoro nyingi zinazoendelea kuwaumiza kichwa waliorithi mikoba yake na kujitutumua kuikamilisha. Wasipofika mahali na kukiri ukweli kuhusu uongo wa niradi hii, wataumia sana mpaka ikamilike. Uongo hausahihishwi kwa uongo mpya.
Magu yampasa aundiwe tume maalum ya kumaliza mambo yake, hasa yale maovu. Serikali iwaombe msamaha na kuwapa fidia wale wote watakaothibitishwa kuumizwa bila haki, ikiwepo waliokaa jela bila haki. Na hili lifanyike haraka, kwa uwazi au kwa kificho.
Baada ya kumalizana na mapungufu haya, ifanyike ibada maalum ya toba, aombewe msamaha, ili mzimu wake usiendelee kulitesa taifa na serikali, mpaka kulazimisha nchi iingie kwenye umwagaji damu usio wa lazima.
Mungu wa msamaha awabariki.
Hao waliokua wanaokotwa ufukweni mbona hatujawahi kuwaona au kuwasikia ndugu zao wakiwatafuta tunawasikia Chadema tu wakilalamika.Kuna mengi ya kufanya.
Kwamfano sasa ni dhahiri Moses Lijenje comandoo kauwawa na akina Kingai na kipindi hicho kulikuwa karibu na uchaguzi yaani mwezi august 2020. Maana walinzi wa Mbowe walikamatwa tarehe 20 august, lakini pia Serikali ikiri kuwepo kwa wasiojulikana ambao sasa wanajulikana kuwa ni mahita na Kingai.
Lakini Yale makovu ya tangu October 2015
Utekaji, utesaji, dhuluma uuwaji na wale waliokuwa wanaokotwa ufukweni tujue na ndugu zao wajue, inasikitisha sana.
Marehemu alikuwa anaona Kila anaetoa ushauri tofauti ni adui. Very shame
Mtu kateswa halafu hana kovu lolote. Machadema mnachekesha sana. Mlimtafuta sana urio bila mafanikio kwasbb mlijua ndiye atakaewamaliza kwenye hii kesi. Sasa mnaleta propaganda za kipuuziHuenda Urio aliteswa sana(kuna mmoja wa washitakiwa alisema alimuona Urio aliteswa)............na amekubali awe shahidi wa washitaki kwa kuhofia kupoteza baadhi ya haki zake hivyo huwezi kumlaumu.
Najiuliza kuhusu Lijenje.....je nini kilimpata huyu kijana?....mbona hayupo mahakamani?..
Ila kwa uhuni huu lazima 'karma' iwashughulikie watu fulani
Ahahahah....labda wewe. Maana unajua ulicho mpendwa.Marehemu Magufuli alipendwa sana..period!!
Awamu ilikua ya vichaa kweli , imagine mtu anasema wameokota vichwa vya treni bandarini.
Mkuu wa wilaya wanging'ombe njombeHuyo wa pembini ni bambo (yule comedian)au