Ni kweli kabisa na ndio maana kipindi fulani katika mitihani ya taifa hapa nchini baadhi ya watahiniwa waliandika mistari ya bongofleva.Uwezo wao ulikuwa ni kuandika mashairi lakini walitahiniwa vitu wasivyovifahamu.Hapo kwenye katuni eti atakayeshindwa kukwea mti ataambiwa ni mjinga na asiyekuwa na uwezo wowote.Kielimu hii katuni inafikirisha sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.