TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,047 Oct 20, 2011 #61 lukindo said: mama, naona unasisitiza hili neno (in red), unanilazimisha kufikiri juu ya hii katuni ambapo mwanzoni nilipoiona niliidharau!View attachment 39492 Click to expand... Duh!kumbe kuna ukweli!kweli baadhi ya watanzania wanatia aibu sana!!
lukindo said: mama, naona unasisitiza hili neno (in red), unanilazimisha kufikiri juu ya hii katuni ambapo mwanzoni nilipoiona niliidharau!View attachment 39492 Click to expand... Duh!kumbe kuna ukweli!kweli baadhi ya watanzania wanatia aibu sana!!
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 249 Oct 20, 2011 #62 Mh... labda kwa vile we mwanaume ndio maana ilikuchefua?😛hoto:
taffu69 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2007 Posts 2,094 Reaction score 541 Oct 20, 2011 #63 Kwa JK kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!!
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 Oct 20, 2011 #64 kuna watu wana zali dunia hii!mshkaji rais,kisu kipo na anapendeza!.....haya ndo maisha!
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Oct 20, 2011 #65 taffu69 said: kwa jk kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!! Click to expand... kwasababu watz mnashangaza lazima ashangae afanyeje sasa?
taffu69 said: kwa jk kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!! Click to expand... kwasababu watz mnashangaza lazima ashangae afanyeje sasa?
kuberwa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 575 Reaction score 137 Oct 20, 2011 #66 teh teh yapendeza zum zum zum we mama... Nyuki wasije mshambulia tu!
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Oct 20, 2011 #67 Ndibalema said: Click to expand... hii ndo airforce 1??? ya nji hii
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Oct 20, 2011 #68 taffu69 said: Kwa JK kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!! Click to expand... msoga hakuna v2 hivi
taffu69 said: Kwa JK kila kitu kwake ni kigeni na haachi kushangaa!!!! Click to expand... msoga hakuna v2 hivi
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Oct 20, 2011 #69 aghggggggggggggggggg hajapendeza kiivyo kwani alitokea pande zipi inawezwkana huko alionekana kama xmass tree alikuwa anakenyua na kupunga mkono wa nini/? Muuza Sura said: kuna watu wana zali dunia hii!mshkaji rais,kisu kipo na anapendeza!.....haya ndo maisha! Click to expand...
aghggggggggggggggggg hajapendeza kiivyo kwani alitokea pande zipi inawezwkana huko alionekana kama xmass tree alikuwa anakenyua na kupunga mkono wa nini/? Muuza Sura said: kuna watu wana zali dunia hii!mshkaji rais,kisu kipo na anapendeza!.....haya ndo maisha! Click to expand...