Picha Iliyonivutia Leo

Status
Not open for further replies.

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
2,000
View attachment 73458
Mtu mwenye Ulemavu wa miguu(sio Kiwete) ambaye alifanikiwa kujipenyeza na kumfikia Mh. Rais ambaye hatimaye amumuahidi kumnunulia Bajaji; my take; japo huenda imekuwa bahati yake huyu lakini wako wengi sana hawa nchini, na wakiwezeshwa Bajai huenda zikawakomboa
 

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
2,000
Hapo kwenye red mimi nimeona kama hirizi!
hii ya viatu nimeirusha kwenye uzi wa jinsi ya kufunga gidamu, hapo kwenye bangili/....................sina maoni lakini kuna vitu zaidi.................
 

Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,497
2,000
Sina hakika kama viatu hivyo vinaendana na Kaunda suti, naona kama vinaendana na suruali ya jeans au kadeti.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom