Mkumbo2011
New Member
- Sep 12, 2011
- 4
- 1
So sorrowful
Nimeziona picha nyingi kuhusiana na ajali ya meli Zanzibar, lakini picha hii imenigusa kwa namna ya pekee kabisa. Nikiangalia sura zao zisizo na hatia, ninaona kuwa kama taifa, tumewaua malaika hawa bila sababu za msingiView attachment 37064
inasikitisha sana.....hasa ninapofikiri walipotumbukia baharini walifanyaje......hawakuweza kujiokoa wala kujua ni nini kinaendelea.....kweli inauma.....
Ninachomaanisha Mkuu Gango ni kuwa vifo hivi, kwa kiasi kikubwa, vimetokana na uzembe wetu. uzembe wa nani? Mimi niona ni sote kama jamii tumeshiriki. Ndio, viongozi walikwua na dhamana ya kuhakikisha yanaliyotokea yanazuiwa kwa kusimamia kwa makini sekta zao za utandaji, lakini siisi wananchi naamini tuna dhamana kubwa zaidi ya kwuasimamia waviongozi na watendaji hawa. Kama wananchi hatujafanya ya kutosha kusimamia viongozi wetu. wamekuwa wakikosea mara kwa mara lakini hatujaonekana kuwaadhibu kwa kiasi cha kutosha.kwani katika waliokufa kunaaliye kuwa na hatia?
na je nani aliyewauwa? mbona umesema tumeuwa? be specific taja mtu hapa bana
Mkulungwa anasikitika ama vipi? naona kama kuna ka smile hivi tafauti na Dr
ulitaka avue shart uchungu unaujua au wasema acha mambo ya chama hapa ni simanzi kwa tz damu yetu kwa woteTangu lini JK alisikitika?? Hana uchungu huyo hata chembe!! Angekuwa na uchungu TZ na watu wake wasingekuwa hivi!!