Sio Blog ya pono Leopold ni blog ya mbongo mmoja ......nimejikuta na maswali mengi kama ni ndugu yangu ningeweza kumwambia sissy hapo umevuka mipaka hayo mavazi kweli ni ya faragha ..naona Askofu atamuombea
FL1 Pole sana. Hiyo ndiyo anwai (diversity) ya kufikiri na kutenda katika binadamu. Mungu amusaidie. Amen. Ngoja; Pengine alifikiri yupo summer time huko kwa walami (NORWAY AU SWEDEN SIJUI?) maana ndio hushindana kuoneshana nguo za ndani wao uziita summer costumes. Tofauti na wao huwa wanavaa miwani myeusi usoni ili kuficha sura zao.