MHHH!:confused2:Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!!
Mungu apitishe mbali hilo balaa:shocked:
Hivi huko Mexico hakuna cha mwezi mtukufu wala nini??!!
Mungu apitishe mbali hilo balaa:shocked:
yaani jamaa wanaendelea na biashara zao, kweli utu umekwisha kabisa!
...Watu wetu wengi hawana kazi ndio maana kunapotokea hata kakitu kadogo tu watu kibao. Ila hawa jamaa kiboko watu wanamega menu na maiti iko pembeni hawana wasiwasi. Ingekuwa bongo hapo kila mtu anatafuta stori...:A S 100::A S 100:Sasa wafanyeje jamani......time is of more value kwao.....wakulaumiwa ni authorities wanaochelewesha kutoa huo mwili....niliwahi kufika Hong Kong ikatokea ajali mtu kagongwa akafa watu wakaendelea na shughuli zao kama kawaida.....sisi tungekaa kushangaa na kuacha shughuli hata kusababisha foleni.
Mexico is 99.9999% Catholic.......:confused2: