Picha: Huyu ni mbunge tu CDM bwana

Picha: Huyu ni mbunge tu CDM bwana

JERRY

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
630
Reaction score
504
Huyu ni mb.silinde tazama nyomi yake
 
Attachments

  • 11040587_687417744701245_3636908096135912805_n.jpg
    11040587_687417744701245_3636908096135912805_n.jpg
    90.3 KB · Views: 3,222
Chadema ni chama kinachokubalika na watanzania wote wazalendo .
 
Wamevaa tshirts za ACT mnasema chadema......

ALL IN ALL VIVAA CHADEMA
 
Mimi namshauri ZZK amwambie Mwenyekiti wake na Katibu waitishe mkutano Songea. au Mwanza ili tujue Act ni chama au Act ni ZZK?. Naomba mtu yeyote wa Act au Mwalimu Kaijage amshauri Nuru ya chama .
 
Wamevaa tshirts za ACT mnasema chadema......
ALL IN ALL VIVAA CHADEMA Sio tshirts za ACT ni jezi za mbeya city FC si unajua tunduma ipo mkoani Mbeya
 
nawashauri ukawa kuhamasisha wa2 kujiandikisha na kutokukosa siku ya kupiga kura maana nyomi bila kupiga kura ni kaz bure ukwel wa2 wamekata tamaa na maficadi hu mwaka wa mabadiliko
 
Mimi namshauri ZZK amwambie Mwenyekiti wake na Katibu waitishe mkutano Songea. au Mwanza ili tujue Act ni chama au Act ni ZZK?. Naomba mtu yeyote wa Act au Mwalimu Kaijage amshauri Nuru ya chama .
mtaelewa tu taratibu
 
Back
Top Bottom