Tutalishwa hadi mavi sasaLabda tuanze kula vumbi sio tena kulipaka!
Ebu mmasai mmoja a edit hapo kwenye "gram 1.5 ya ugoro", watauza Sana siku hiyo.Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
View attachment 3303649
Anazungumzia dawa iwekwe chini ya ulimi na itanyonywa haraka na kuamsha mashineKwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
View attachment 3303649
Dawa ya 1.5Dawa gani
HeDemu akiwa na tako kubwa ndiyo dawa ya nguvu za kiume
Namba zake za simu huyo dokta zipo wapi??Kwa wenye ufahamu wa hili jambo analozungumzia Daktari wa urolojia atufafanulie lieleweke
View attachment 3303649
Mkuu kama unazo tupia PM
Vijana siku hizi mmekuwa legelege sana! Yaani mpaka nawashangaa! Hizi mambo enzi zetu mbona hayakuwapo? Ndiyo maana vimtu vyenu vinatutaka sisi!.