PICHA: Huu ndio utajiri wa Kutisha wa CCM

PICHA: Huu ndio utajiri wa Kutisha wa CCM

Ni kweli mkuu... Nimehakikisha,, kwahiyo kwa mazingira hayo, lazima wawe matajiri

..pia tangu 1965 tulipofuta vyama vingi, mpaka 1993 tulipovirudisha tena, CCM ilikuwa inachangiwa na Watanzania wote, na ilikuwa ikipatiwa miradi ya uwekezaji na rasilimali nyingi toka SERIKALINI.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Uhuru Publications Limited (UPL) na Uhuru Fm.

Cde Amos Makalla katika ziara hiyo ya kutembelea vyombo vya habari vinavyomilikiwa na CCM ili kujionea utendaji kazi wake.

Na huu ndio urithi wa CCM kwa wanachama wake na Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama vyao ,

Kwa mambo haya CCM lazima iaminike na Umma kwa uimara huu ndio maana ushindi kwao 2024 na 2025 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni lazima
Hivi Manara alikuwa anafanya kazi hapa, au sio?
 
Watumishi wa serikali ndio maana wanatuchukia sisi wa sekta binafsi, ofisi imechoka na vifaa vya ofisi vimechoka! Dah
Naomba nikurekebishe, hiyo ni ofisi ya CCM, sio ya serikali
 
..Ccm pia wanapokea ruzuku BILLIONI 3.2 kila mwezi toka ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.
Tujikumbushe kuwa CCM mali walizokuwa nazo ni za watanzania wote na haijalishi niwa chama gani. Someni historia ya nchi hii na vyama vya siasa
 
View attachment 3139386
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Uhuru Publications Limited (UPL) na Uhuru Fm.

Cde Amos Makalla katika ziara hiyo ya kutembelea vyombo vya habari vinavyomilikiwa na CCM ili kujionea utendaji kazi wake.

Na huu ndio urithi wa CCM kwa wanachama wake na Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama vyao ,

Kwa mambo haya CCM lazima iaminike na Umma kwa uimara huu ndio maana ushindi kwao 2024 na 2025 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni lazima

View attachment 3139388
Viva CCM
 
Back
Top Bottom