Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,640
- 3,018
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Uhuru Publications Limited (UPL) na Uhuru Fm.
Cde Amos Makalla katika ziara hiyo ya kutembelea vyombo vya habari vinavyomilikiwa na CCM ili kujionea utendaji kazi wake.
Na huu ndio urithi wa CCM kwa wanachama wake na Watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama vyao ,
Kwa mambo haya CCM lazima iaminike na Umma kwa uimara huu ndio maana ushindi kwao 2024 na 2025 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni lazima
