Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,929
Hapo ni Library, stoo au ?? Mezani kila kitu- kwa nini siyo key board na screen ziwe mezani-? Hamna mpangilio wa ofisi -design?View attachment 3139386
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Uhuru Publications Limited (UPL) na Uhuru Fm katika ziara ya kutembelea vyombo vya habari vinavyomilikiwa na CCM ili kujionea utendaji kazi wake, leo tarehe 30 Oktoba 2024, jijini Dar Es Salaam.
Huu ndio urithi wa CCM Kwa wanachama wake na Watanzania, CCM lazima iaminike kwa uimara huu ndio maana ushindi kwoa ni lazima
View attachment 3139388
Dressing Code - Zero;
Uchafu