Picha: Huu ndio uhalisia wa Dada zetu Instagram

Picha: Huu ndio uhalisia wa Dada zetu Instagram

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,787
Ufake uko mwingi sana.
natachandahiro-___CECTMDOhUUg___-1.jpg
ms___fatma-___CLWhxCWnghQ___-.jpg
 
Kufuatilia mambo ya wanawake kunakupunguzia thamani ya kuonekana kama mwanaume, "be matured" waache wanawake wafanye vile roho inapenda maisha mafupi haya, waache wajifurahishe!
 
Umekorofishana na huyo dada nini ukaamua kumtundika JF?
 
Nimependa alivyo kwenye picha ya pili.
 
Dole gumba la mkono kama aliugua Mdudu akapona!
 
Dole gumba la mkono kama aliugua Mdudu akapona!
 
Nionavyo muwaache tu sababu wanafanya ile kitu ambayo baadhi ya Me wengi mnapenda

Na ndio sababu ikatokea mwenye umbo la kawaida akajirusha basi hata upokeaji wa hiyo picha unakuwa mdogo tofauti na hao wanojiedit.
 
Back
Top Bottom