kwani tafsiri ya uchi ni nini? Hapo tayari yuko uchi ila si uchi wa mnyamametamophosis stages,ni hatua hyo moja wapo ya kuelekea kutembea uchi miaka mitano ijayo,wataetembea uchi kabisa,
Kama unayopicha halisi tuma mbn hiyo kama ya kawaida sanaSasa hapo utata wa hiyo picha uko wapi, nilijua walau ZERO inaonekana
Angalia vizuriSijaona nilivyotaka kuviona....
Nimejaribu ku-zoom hamna kitu.Angalia vizuri
hii pichu ni ya kike ama kiume ?Mwanadada mrembo kutoka Nairobi, kenya aitwaye huddah Monroe, ambaye pia ni mfanyabiashara ,hivi karibuni kwenye page yake ya instagram amewaacha mashabiki zake midomo wazi baada ya ku post picha ambayo anaonekana amevalia nguo ya ndani pekee,hali iliyofanya maumbile yake ya ndani kujichora na kuonekana wazi,kitendo ambacho kimelaaniwa na baadhi ya mashabiki zake.