Picha hizi zinakukumbushia wapi??????????

Hatujuwani

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
51
Reaction score
10
Sema wewe kama wewe hizi picha zinakukumbushia wapi? au unakumbuka nini?
 
mmmh.... hapa ukikurupuka tu umekamatwa.......
 
Jamaa anajifanya abduli, sisi hatuoni picha bwana na hatuna dhambi!!
 
ngoja nimsaidie , hii picha inawakumbusha wapi

 
sasa hii inaonesha urafiki wa mashaka sijawahi kumlilia Gadaf kwakua hakuna Halisi
 
mbona mnanitegea, nyie hamna picha za kukumbuka, hata hii hamikumbuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…