Picha: Hili ndilo Kaburi la Mandela

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000
Mandela atazikwa nyuma ya nyumba (pink colour) yake katika kijiji cha Qunu ambapo Wakuu wa nchi 70 watahudhuria.

Mahasimu wakubwa kama Robert Mugabe (Zimbabwe) vs David Cameron (Uk) watakutana uso kwa uso. Pia Raul Castro[/B] (Cuba) na yule Iran (Hassan Rouhani) vs Barack Obama (USA)

Madiba atalazwa kwenye nyumba yake ya milele Jumapili ambapo Raisi Obama atawahutubia waombolezaji.

"Living isn’t just about doing for yourself, but what you do for others as well" Nelson Mandela.


Pumzika mahali Pema Madiba


Qunu.jpg
 

Attachments

 • Tomb site 1.jpg
  File size
  80.5 KB
  Views
  879
 • Madiba 2.jpg
  File size
  46.1 KB
  Views
  774
 • Mandela's Tomb.jpg
  File size
  120.9 KB
  Views
  233

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Kufa ni faida kuishi ni kristo kazi ameimaliza salama sasa amepumzika kwa amani malaika wamtangulie akaungane na wale wazee 24 wanaoimba nyimbo nzuri usiku na mchana upumzike kwa amani mpendwa madiba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom