Kiumbe mkuu, tumekuta kimefukiwa mkia uko juu, baada ya kuvuta sana ndo tumekatoa na kulikuwa kinatingisha mkiani kiumbe au ni sanamu?
Gomamli naona ni Kama mjusi mwenye rangi, huyu Hana miguu ya mjusiHuku tunakiita Gomamli
Mkristo, nimeshachoma Ila nimeuliza kwa ajili ya kufamishwa tu kwa wanaoelewaSijui wewe ni dini gani, lakini kama una imani ya kutosha chukua hiyo takataka tafuta mahali pengine ifukie na uisahau, wala usiikumbuke tena.
Kilikuwa kinatingisha mkia, nimekapiga na jiwe, nimemchoma Moto kalikuwa na nyama, kuungua kwa mdoli wa plastic na mjusi ni tofauti kabisaaUna uhakika ni kiumbe?Umekipasua ukaona kwamba kilikuwa na uhai hapo kabla?
Mimi nahisi ni kamdoli tu cha mtoto kamepotea siku nyingi---leo ndio mbwa kakafukua mahali akakisahau mlangoni kwako.