Kama ni kweli Wasubirie Kutafunwa na FATAKI kwa zamu!
Lakini isije ikawa wametoka kwenye graduation ceremony wanaangalia zawadi zao, sababu najiuliza mpiga picha alikuwa wapi? na kwa nini hwakushtukia wakati jamaa anawapiga picha?
Kwangu haingii akilini kabisa!