Waliona baba na mama wakifanyiana hivyo. Kosa ni letu sisi wazaziKama mzazi,mlezi na sehemu ya jamii tupige vita upuuzi huu, tusikiangamize kizazi kijacho kwa matendo yetu wenyeweView attachment 194979
Hao wadogo sana na hawajui watendalo. Wakikua kidogo basi wataanza ona aibu na kuacha kitu hicho IMHO
Hapo utadai watoto wa Siku hizi wameharibika, ila umasahau behind this wapo wazazi/walezi wao tena unaweza kuta wanapiga makofi na vigelegele...... hahahaah mchumu tena mwaaah... ndicho wanachofundishwa
Kama mzazi,mlezi na sehemu ya jamii tupige vita upuuzi huu, tusikiangamize kizazi kijacho kwa matendo yetu wenyeweView attachment 194979