Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Nasikia Vasco ndio alikuwa mfunguzi wa huo uwanja
Ukipita kuanzia saa 1.30 usiku watu wanapeana uroda hapo usipime!

Sijawahi kuona uwanja wa Ndege mbaya na wenye hatari kubwa kwa maisha ya watumiaji wa viwanja vya ndege kama huu wa Mbeya uliopo katikati ya mji wa Mbeya.Nilistaajabia sana kuona mji mkubwa kama Mbeya bado ulikosa uwanja wa Ndege wenye hadhi kama huu.Kwa hakika uwanja wa ndege wa Songwe unapaswa uishe haraka sana na tena nasema serikali ilichelewa sana kujenga uwanja mwingine.Leo ninaposikia kuna ajali ya ndege katika uwanja huu sishangai tena.
Kwanza uwanja huu wananchi wanakatiza tu katikati ya uwanja kwa shughuli zao binafsi.Waendesha pikpiki wanapita hapo, magari yanakatiza tu kiholela, watu pia usiseme.Kutokana na uwanja huu kuwa katikati ya makazi ya watu imekuwa ni kawaida tu sasa hata kukaa na kupiga stori na wahusika wasichukue hatua zozote zile.
Barabara ya kurukia ndege ni hovyo na wala huwezi kuita ni runway.Mashimo ni mengi sana.Hapa ina maana ndege ikikosea ikaacha njia basi itaenda kupiga break kwenye makazi ya watu jambo ambalo ni la hatari. Wenyeji wanasema kama kuna ndege inataka kutua au kuruka basi itapigwa filimbi kuashiria kuna ndege hivyo watu watawanyike.Hii ni hatari mno,sijui kwa nini Mamlaka ya Anga Tanzania haiufungi uwanja huu.Tazama picha mbalimbali za uwanja huo.Kuna picha zingine hazijawa clear sana.
Mkuu umeibiwa, hapo ni Airstrip ya toka enzi ya mkoloni.Sijawahi kuona uwanja wa Ndege mbaya na wenye hatari kubwa kwa maisha ya watumiaji wa viwanja vya ndege kama huu wa Mbeya uliopo katikati ya mji wa Mbeya.Nilistaajabia sana kuona mji mkubwa kama Mbeya bado ulikosa uwanja wa Ndege wenye hadhi kama huu.Kwa hakika uwanja wa ndege wa Songwe unapaswa uishe haraka sana na tena nasema serikali ilichelewa sana kujenga uwanja mwingine.Leo ninaposikia kuna ajali ya ndege katika uwanja huu sishangai tena.
Kwanza uwanja huu wananchi wanakatiza tu katikati ya uwanja kwa shughuli zao binafsi.Waendesha pikpiki wanapita hapo, magari yanakatiza tu kiholela, watu pia usiseme.Kutokana na uwanja huu kuwa katikati ya makazi ya watu imekuwa ni kawaida tu sasa hata kukaa na kupiga stori na wahusika wasichukue hatua zozote zile.
Barabara ya kurukia ndege ni hovyo na wala huwezi kuita ni runway.Mashimo ni mengi sana.Hapa ina maana ndege ikikosea ikaacha njia basi itaenda kupiga break kwenye makazi ya watu jambo ambalo ni la hatari. Wenyeji wanasema kama kuna ndege inataka kutua au kuruka basi itapigwa filimbi kuashiria kuna ndege hivyo watu watawanyike.Hii ni hatari mno,sijui kwa nini Mamlaka ya Anga Tanzania haiufungi uwanja huu.Tazama picha mbalimbali za uwanja huo.Kuna picha zingine hazijawa clear sana.
Sijawahi kuona uwanja wa Ndege mbaya na wenye hatari kubwa kwa maisha ya watumiaji wa viwanja vya ndege kama huu wa Mbeya uliopo katikati ya mji wa Mbeya.Nilistaajabia sana kuona mji mkubwa kama Mbeya bado ulikosa uwanja wa Ndege wenye hadhi kama huu.Kwa hakika uwanja wa ndege wa Songwe unapaswa uishe haraka sana na tena nasema serikali ilichelewa sana kujenga uwanja mwingine.Leo ninaposikia kuna ajali ya ndege katika uwanja huu sishangai tena.
Kwanza uwanja huu wananchi wanakatiza tu katikati ya uwanja kwa shughuli zao binafsi.Waendesha pikpiki wanapita hapo, magari yanakatiza tu kiholela, watu pia usiseme.Kutokana na uwanja huu kuwa katikati ya makazi ya watu imekuwa ni kawaida tu sasa hata kukaa na kupiga stori na wahusika wasichukue hatua zozote zile.
Barabara ya kurukia ndege ni hovyo na wala huwezi kuita ni runway.Mashimo ni mengi sana.Hapa ina maana ndege ikikosea ikaacha njia basi itaenda kupiga break kwenye makazi ya watu jambo ambalo ni la hatari. Wenyeji wanasema kama kuna ndege inataka kutua au kuruka basi itapigwa filimbi kuashiria kuna ndege hivyo watu watawanyike.Hii ni hatari mno,sijui kwa nini Mamlaka ya Anga Tanzania haiufungi uwanja huu.Tazama picha mbalimbali za uwanja huo.Kuna picha zingine hazijawa clear sana.
Mkuu umeibiwa, hapo ni Airstrip ya toka enzi ya mkoloni.
Mambo yako Songwe International Airport, kama kilometa 20 toka hapo.
Tunaomba picha za Songwe Intl kwa walionazo tafadhali, isije ikawa ndio Uwanja wa kufikirika wa kimataifa wa Songwe.
Songwe Int Airport under construction.
The construction of the passengers' lounge was underway and it was expected to be completed by the end of the year. Songwe airport is expected to be among the best airports in the country upon its completion and is said to be bigger that Mwalimu Julius Nyerere international airport in Dar es Salaam. Songwe's runway is 3.5 km long while Mwalimu Julius Nyerere's is only 3.0 Km. Source ippmedia.
e.
nilikuwa singida jana nakufa mbavu zangu, sikujua kile ni choo cha walinzi au ofice ya wafanyakazi wa hicho kiwanja! sasa hii mpyaaaaa! lol
Usishangae, airstrips nyingi za Tanzania ndivyo zilivyo.
Mkuu si watu wengi wenye ufahamu wa tofuti kati ya airstrips,airports na International airports.
Watu kwa vile ufahamu ni mdogo wanafikiri ndege lazima itue kwenye tarmaced landing area.
Mbaya zaidi si wengi wanaojua hata tofauti kati ya propelled aircrafts, turbo-propelled aircrafts na jet aircrafs.
Aina ya uwanja ndio inayoweza kudetermine aina ndege inayoweza kutua kiwanjani hapo.