Picha hii inaonyesha uhalisi wa Uganda, Kenya na Tanzania enzi hizo

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
upload_2018-4-27_13-3-5.png


Obote - Raisi mwembamba, mjamaa wa kweli toka nchi masikini
Kenyatta - Bepari wa kweli, kibonge suti yake unatoa mbili za Obote, hata viatu havimwenei tena
Nyerere - slim fit, ufisadi kwake mwiko!
 
Duuhh...
Naona hapo Nyerere anamwambia Kenyatta kuna hela naiskilizia
Obote ni mpambe tu kimya, anajua mtu anaingizwa chaka
Kenyantta hapo kichwani anasema hii MTZ ina kiswahili mrefu...

1610408078562.png
 
Back
Top Bottom