Picha hii ina walakini kiprotokali

Hili povu si la nchi hii,
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
You made it, moto.
 
Sasa wewe unasema haijazingitia hitifaki badala ya kuelezea kivipi wewe nawe unataka wataalam wewe ulijuaje protocol haipo
 
Mkuu, huo ndo ukweli wenyewe, hio sio bahati mbaya, Bashite anashika na kutimiza majukumu ya huyo mmama mwenye njano. Ndo maana halisi ya kukaa upande wa kushoto. Huyo profesa asingekubali kukaa upande huo, hana hizo tabia.
sijakupata please
 
Total Insult to the President. You deserve a serious warning.
Hivi hata kukaa kunahitaji protokali?? Kwanza walikuwa wapi?? mimi nadhani haikuandaliwa waliamua kukaa tu kwa kuchangamana, pengine baada ya maongezi muhimu kwisha.
 
Akitaka asitukanwe na yeye aache kututukana
 


Hii hujaiona mkuu, Protokali inasemaje hapa?

Sasa hv tunaangalia vitu vidogo vidogo
 
Kwa mawazo yangu naona mpangilio wa waheshimiwa katika picha hii haujakaa vizuri. Kwa wataalamu wa sayansi ya siasa,protokali na itifaki tunaomba mtusaidie mawazo.
ww hujasoma diplomasia picha iko sahihi ndo inabidi akae hivyo mkono wa kushoto wa rais;then anafuatia mke wa rais!
ficha utupu wako
 
Kama hivyo na wale waliofungwa kwa kufoji vyeti waachiwe
Haki itatendeka tu,mh anasubiri report,forgery ya Bashite ni very complicated sio ile ya cheti fake au ya kutumia jina la mtu na mwenye cheti akajitokeza hizi mbili ni offence direct,lakini Bashite,alifeli mara kadhaa,anarudia,anarudia,he never given up [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,imebidi nicheke maana jamaa kama mbizi alipiga. Akasoma Chuo,akala nakozi watt wa kiswahili wanaita chini akarudi akagraduate kwa majina ambayo baadae alirekebisha mahakamani,sasa kwa sheria ipi utamhukumu maana hapo hata mahakimu au wanasheria nao lazima waumize kichwa[emoji33] .
Kwa ujumla the man struggled!
Hivyo kuna utofauti na walio fungwa na hata adhabu atakayopewa kama akikutwa na kosa itakuwa tofauti.
Mh kwa hii sinario hawezi kurupuka hata ingekuwa ww[emoji41]
 
Mtu ambaye hawezi kuwa na adabu kwa mkuu wake ni yule tu aliyezaliwa na kulelewa kwenye danguro...
Huyo hawezi hata kuwa na heshima kwa babaake wala mamaake kwani michezo anayofanyiwa mamaake anaiyona..

Huna adabu kabisa
Povu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…