Umakini sawa,ila hilo la kumdaka mtu mkono hapanaSkiza nikuambie,watu wa usalama wa taifa wanajua kwanini kiongozi au viongozi wanaposalimiana kwa kushikana mikono walinzi wanakuwa makini mno,fuatilia picha nyingi alafu angalia macho au mikono ya walinzi utagundu.
Huwezi ukaung'ang'ania mkono wa Rais usije kumdhuru. Tena nadhani walimheshimu huyo jamaa manake nijuavyo jamaa hupiga mkono wa mtu na kumuachia maumivu makali huku wanaondoka na Rais.Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.
Pasco
Sasa Pasco kama Rais bado alikuwa anateta jambo na muhusika inakuwaje?Haya mambo sijaona sehemu nyingine
Unazungumziaje mkono wa kushoto wa Rais ambao hata begani kwa anayesalimiana naye haujafika!huoni kuwa salamu ilikuwa ikiendeleaHujui ishu za usalama . hebu soma micro expresion, utagundua haikuwa moment nzuri, ilibore kama Mh. Rais nae alikuwa kama kamaindi hivi.
Hapo mlinzi wake lazima awe makini, maana ni kazi yake huwa hawakurupuki.
Katika huelewa wa haraka haraka yawezekana kulikuwa na misunderstanding na picha ya pili yaonyesha huyo jamaa mwingine aliye mshika mkon Mh.Rais alienda kuliua soo kiaina, ila mlinzi bado yupo atention.
( kwa mawazo yangu)
Huli bata,huishi upangavyo,no time to relax!no time to be natural...unakuwa robot!damn it!mimi mambo ya protokali siyajui nilicho ona na kugundua kwenye picha ni kiwa uraisi unachosha
Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!
Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,
Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji
Rais angekuwa ameng'ang'aniwa ingeonekana,lakini mkono wa Rais bado umetoa ushirikiano!Pia mkono wa kushoto wa Rais ndio kwanza ulikuwa unaenda kutua begani kwa bwana shekhe!Huwezi ukaung'ang'ania mkono wa Rais usije kumdhuru. Tena nadhani walimheshimu huyo jamaa manake nijuavyo jamaa hupiga mkono wa mtu na kumuachia maumivu makali huku wanaondoka na Rais.
Asante kwa Maelezo ya ziadaMtu anayelindwa kwa mfano kiongozi wa nchi huwa wakati wa kusalimiana humpi mkono mpaka yeye aanze kukunyooshea. Kilichotokea hapo leo ni kwamba JPM alipomaliza shughuli aliteremka kwenda kuwapa mkono watu waliokuwa wameketi mstari wa mbele kabisa akiwemo Taslima.
Kutokana na kazi nzuri aliyoifanya wakili huyu JPM alipofika kwake alimpa mkono na Taslima alipoupokea JPM aliendelea kuongea naye akiwa bado ameushikilia. Sasa kwa minajili ya ustaarabu Taslima asingechomoa mkono wake mpaka pale JPM alipouachia.
Huyo mlinzi alizidisha munkari kidogo, maana hawa watu wetu wa idarani wana utamaduni wa kuzidisha mambo ya kazi yao mara nyingi.
Hatujawahi kuwa na askari weledi nchi hii. Type yao ni ile ya colonial times, kupenda ukatili na kuogopwa!. Huenda Ndio system ya kijani!
Uko nje ya mada,kaanzishe uzi tujadili hilo!Hao mameya wa CDM si walitoa tamko la kutohudhuria shughuli zote zitakazomhusisha rais jijini DSM baada ya ile ya ufunguzi wa Daraja la Kigamboni kisa wanadhalilishwa na kuhujumiwa?
Imekuaje tena?
Sasa Pasco kama Rais bado alikuwa anateta jambo na muhusika inakuwaje?Haya mambo sijaona sehemu nyingine
Lowasa is Harmless!sidhani kama uko sahihi.
Kwa mtazamo wangu, jamaa alinyoosha mkono kumsalimia Magufuli na kulikuwa hakuna mpango wowote wa kusaliami, jamaa wa usalama akawa anajaribu kumzuia aidha kwa kutojua dhumuni la huyo mtu ni nini au kumwondolea rais usumbufu lakini kutoka na huungwana wa rais hakaamua kumsalimia wakati jamaa wa usalama hanazuia mkono.Halafu Pasco ukiangalia mkono wa kushoto wa Rais uko hewani haujatua kwenye bega la anayesalimiana naye so inaonesha salamu ilikuwa haijakamilika!
Huyo ni wakili na ndiye aliyewatetea wananchi wa eneo hilo mpaka Leo serikal imesikia!Kiufupi ndiye mtu aliyesimama kwa niaba ya wananchi!He is not just nobodyKwa mtazamo wangu, jamaa alinyoosha mkono kumsalimia Magufuli na kulikuwa hakuna mpango wowote wa kusaliami, jamaa wa usalama akawa anajaribu kumzuia aidha kwa kutojua dhumuni la huyo mtu ni nini au kumwondolea rais usumbufu lakini kutoka na huungwana wa rais hakaamua kumsalimia wakati jamaa wa usalama hanazuia mkono.
usalama kwanzaSijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu. Angalieni mkono wa huyo jamaa wa usalama.
View attachment 394980
Ulivyomshika mtu anayesalimiana na Rais.
Wadau mna maoni gani? Hii imetokea leo.
Nadhani na hapa chini Bon angechelewa kidogo jamaa angeenda kumshika mkono aachie mkono wa Rais. Sio kwa jicho hilo analomkata aisee.
View attachment 394999 View attachment 394980
USA wanatumia radius!wamezipa majina hizo zones zao,kuna radius kama 6 kama nakumbuka vizuri kabla ya kufika kwa Rais!Mpaka unafika inner radius basi tayari wameshahahakisha kuwa wewe ni harmlessHiyo ni mifumo ya kizamani,sasa hv dunia inatumia angles kulinda viongozi wa juu wa serikali.
USA wanatumia radius!wamezipa majina hizo zones zao,kuna radius kama 6 kama nakumbuka vizuri kabla ya kufika kwa Rais!Mpaka unafika inner radius basi tayari wameshahahakisha kuwa wewe ni harmless
Kumbe vijana wetu wamewivaaa ka rusia