Sijui protocol za usalama lakini naona hii si nidhamu!Angalieni mkono wa huyo jamaa wa usalama!View attachment 394980 ulivyomshika mtu anayesalimiana na Rais!
Wadau mna maoni gani?Hii
imetokea leo
Sasa Pasco kama Rais bado alikuwa anateta jambo na muhusika inakuwaje?Haya mambo sijaona sehemu nyingineHao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.
Pasco
Halafu Pasco ukiangalia mkono wa kushoto wa Rais uko hewani haujatua kwenye bega la anayesalimiana naye so inaonesha salamu ilikuwa haijakamilika!Hao ndio zao! . Jamaa alipaswa akiishasalimiwa auachie mkono hivyo ikambidi jamaa wa usalama aingilie kati kuuzuia mkono ili kuwaachanisha!.
Pasco
kwani rais kalazimishwa kutoa mkono mi naona kabla rais hajatoa mkono huyo mpambe angemzuia maana hapo kama anafanya fujo,kwani rais hajui kuwa kiusalama hapaswi kutoa mkono hovyo
Halafu ndiye aliyewatetea wananchi hao kipindi chote hicho mpaka leo serikali imewasikiliza na kuahidi kuwajengea!Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.
Ilikuwa lini hiyo mkuu?Halafu huyo Mzee anayesalimiana na Mh. Rais, ni kigogo wa chama cha CUF mwanasheria nguli Twaha Issa Taslima ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya CUF baada ya Prof. Lipumba ''kujiuzulu''.
Hapo Mh. Rais katika shughuli nzima alikuwa amezungukwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani waliochaguliwa na wananchi wa jiji la Dar-es-Salaam ndiyo maana rangi ya njano na kijani leo hazikuwepo hivyo salamu na kushikana mkono ni ishara ya kukubali uwepo wa ''wenye jiji''.
Ukiangalia mkono wa kushoto wa Rais bado haujatua kwenye bega la la anayesalimiana naye,hii inamaana salami ilikuwa bado mbichi!Hiyo kitu hairuhusiwi ku hold/kumshika kiogozi wa juu kwa mda hiyo ipo popote pale duniani!
Kuna wengine wanatumia njia hiyo kumdhuru rais,
Hawa Jamaa wanajua sana majukumu yao hawabahatishi na rais hawezi kuhoji