Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 #1 Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,427 Mar 20, 2025 #2 Mtarudiana tu
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #3 The ice breaker said: Mtarudiana tu Click to expand... Sinaga Tabia ya kurudia matapishi
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,350 Reaction score 118,699 Mar 20, 2025 #4 Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa.
majoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 2,706 Reaction score 5,111 Mar 20, 2025 #5 Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma 😀 😀 😀 hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu
Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma 😀 😀 😀 hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #6 ERoni said: Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa. Click to expand... Na wewe umekuwa mwamposa🤣
ERoni said: Hiyo convo inaonyesha nani mwenye maumivu makali moyoni, just by reading unaona kabisa. Click to expand... Na wewe umekuwa mwamposa🤣
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #7 majoto said: Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma 😀 😀 😀 hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu Click to expand... Sawa ntaleta taarifa ila sirudii nyuma aisee
majoto said: Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma 😀 😀 😀 hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu Click to expand... Sawa ntaleta taarifa ila sirudii nyuma aisee
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,138 Reaction score 33,525 Mar 20, 2025 #8 Hivi JF ndio kuja kumaliza machungu yenu
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #9 chizcom said: Hivi JF ndio kuja kumaliza machungu yenu Click to expand... Usiombe yakukute
Jumah JR JF-Expert Member Joined Oct 25, 2023 Posts 335 Reaction score 618 Mar 20, 2025 #10 Baada ya week 2 ukishamrudia tuletee thread pia mkuu
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #11 Jumah JR said: Baada ya week 2 ukishamrudia tuletee thread pia mkuu Click to expand... Sawa sirudii nyuma mkuu,
Jumah JR said: Baada ya week 2 ukishamrudia tuletee thread pia mkuu Click to expand... Sawa sirudii nyuma mkuu,
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,326 Reaction score 3,202 Mar 20, 2025 #12 Kifulu said: Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.View attachment 3277170 Click to expand... Mkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie Pm
Kifulu said: Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.View attachment 3277170 Click to expand... Mkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie Pm
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 3,167 Reaction score 5,642 Mar 20, 2025 #13 majoto said: Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu Click to expand... NAUNGA MKONO HOJA
majoto said: Umekubali kuachana wakati kiroho kinakuuma hapo hupindui. ukimrudia usione haya kuleta taarifa humu Click to expand... NAUNGA MKONO HOJA
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,507 Reaction score 4,933 Mar 20, 2025 #14 Una PESA? Tuanzie hapo kwanza
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #15 The Initiator huru said: Mkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie Pm Click to expand... Tayar angalia
The Initiator huru said: Mkuu kama hautojali naomba namba ya huyo binti unitumie Pm Click to expand... Tayar angalia
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,702 Reaction score 5,115 Mar 20, 2025 Thread starter #16 MwananchiOG said: Una PESA? Tuanzie hapo kwanza Click to expand... Sina kitu
Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,304 Reaction score 5,753 Mar 20, 2025 #17 Unaonekana kabisa wewe ndio unateseka na soon utaanza kuomba msamaha.
jjmtambo Senior Member Joined Jul 12, 2018 Posts 119 Reaction score 158 Mar 20, 2025 #18 Dharau mbaya
N notkel004 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2016 Posts 525 Reaction score 378 Mar 20, 2025 #19 Ila mkuu inaonesha umemuacha kinyonge sana, yaani kama ni taraka basi hii taraka rejea
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Mar 20, 2025 #20 We uliyescreenshot unateseka na hilo penzi,kuleta tu na kujieleza ndo udhaifu wenyewe utamrudia tu