Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa
Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania
View attachment 72305
Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.
View attachment 72306
View attachment 72307
Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.
Peopleoooooz!
tutalinda mpaka sisimizi!!
hata kama hizo picha ni za kwenye tukio lisemwalo.Tushasema sana hapa kwamba kujaza watu mkutanoni sio guerantee ya kupata kura.
Kazi nzur'. Kuna lile jamaa linasemaga 'niwalambe nsiwalambe' cjui liko wapi.
Mhn ndugu Mgaya tatizo langu ni kuwa IKIWA WANAIBA NYARA ZETU BILA KUKAMATWA HIZO KURA ITAKUWAJE?Watalia na kusaga meno pale wananchi watako wakataa kwa sanduku la kura. Na tutawapa masaa ili warejeshe kila walichokwiba na kuwaweka segerea.
Kuna huyu hapa aliweka hili bandiko asubuhi asubuhi!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/358373-mapokezi-ya-mh-slaa-chadema-karagwe-yadoda.html
Nilikuwa nasubiri tuone kuwa alichokisema kilikuwa na ukweli au ndio mbinu za wana 'CCM-Online'!
Mwaka 2015 piga kura linda kura nchi nzima,hachomoki mtu!huko kwingine si wana dola waache wakwibe ila watarejesha tu.Mhn ndugu Mgaya tatizo langu ni kuwa IKIWA WANAIBA NYARA ZETU BILA KUKAMATWA HIZO KURA ITAKUWAJE?
nani huyo,karagwe wale wanyambo hawaitaki ccmDuh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.