Wanachama wa Chadema katika Mkutano uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa
Katika mkutano huo mjini Kayanga, ambako Dk Slaa alisema Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania
View attachment 72305
Wajumbe wakiwa katika Baraza la Ushauri wilayani Karagwe, Kagera. Hawa ni viongozi wa majimbo, wilaya na mkoa mzima. Ni utaratibu ambao ni endelevu.
View attachment 72306
View attachment 72307
Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kagera, Wilfred Rwakatare akifungua mkutano.
Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.
tutalinda mpaka sisimizi!!
Nafarijika sna! Jamani,..kweli uhuru umekaribia kupatikana
hata kama hizo picha ni za kwenye tukio lisemwalo.Tushasema sana hapa kwamba kujaza watu mkutanoni sio guerantee ya kupata kura.
hata kama hizo picha ni za kwenye tukio lisemwalo.Tushasema sana hapa kwamba kujaza watu mkutanoni sio guerantee ya kupata kura.
na mimi niliisoma ile thread, kumbe gamba yule alikuwa na makengeza!! nyomi yote hii? CHADEMA NI KIBOKO YAO.Duh, kuna mtu hapa alileta habari kwamba mikutano ya Slaa huko karagwe imedoda! Mbona sasa ni contrary kabisa? Duh, nimeamini CCM wanatapatapa sasa hivi.
Thanks hyoice for pics Nice to see, it's colourful!!Kaisho mnaenda? Mkifika kagenyi/kyerwa wawape maji yakunywa. Good work!