Picha: Hali ilivyo mbaya kwa wagombea ubunge CCM

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Huu ni mkutano wa watia nia wa ccm jimbo la kahama mjini. Watia nia wapo zaidi ya 10. Huu ndo umati uliofika kuwasikiliza leo tar.30/07/2015. Hapo ni kijiji cha iponya kata ya Kagongwa.
Kati ya wagombea,yupo pia bwana Jumanne kishimba mmiliki wa imalaseko super market.

Pamoja na mikutano hii kudoda,bado wanazomewa kila kona! Kuwa mwanaccm kwa sasa inabidi uwe na moyo wa chuma.

1438285543403.jpg
 
View attachment 272474
sasa hapa wanahutubia huo mwembe au wananchi ?
 
Huu ni mkutano wa watia nia wa ccm jimbo la kahama mjini. Watia nia wapo zaidi ya 10. Huu ndo umati uliofika kuwasikiliza leo tar.30/07/2015. Hapo ni kijiji cha iponya kata ya Kagongwa.
Kati ya wagombea,yupo pia bwana Jumanne kishimba mmiliki wa imalaseko super market.

Pamoja na mikutano hii kudoda,bado wanazomewa kila kona! Kuwa mwanaccm kwa sasa inabidi uwe na moyo wa chuma.

View attachment 272474

Huyo Mmiliki wa Super Market nasikia hata kuandika Jina lake Hafahamu hiyo Fomu kajaziwa na Nani?
 
...imalaseko zinakufa anataka kuja kuiba ili azifufue...
 
Yaani nimecheka sana mkuu do! 😂😂😂😂😂😂 baadaye nikafanya utafiti kwenye hiyo picha, ambao ni huu, ukiangalia kushoto kuna speakers ambazo kwa hali halisi ilikuwa zitumike hapo kwenye mkutano, pili mbele ya kikao chao kuna uwanja ambao inaonekana baada ya kukosa watu wakajikusanya kiaina na kuanza kupiga story, ha ha haaaa...
 
Huu ni mkutano wa watia nia wa ccm jimbo la kahama mjini. Watia nia wapo zaidi ya 10. Huu ndo umati uliofika kuwasikiliza leo tar.30/07/2015. Hapo ni kijiji cha iponya kata ya Kagongwa.
Kati ya wagombea,yupo pia bwana Jumanne kishimba mmiliki wa imalaseko super market.

Pamoja na mikutano hii kudoda,bado wanazomewa kila kona! Kuwa mwanaccm kwa sasa inabidi uwe na moyo wa chuma.

View attachment 272474

Hiki nafikiri ni kikao cha familia,hauwezi kuwa ni mkutano wa kisiasa.
 
Huyo Mmiliki wa Super Market nasikia hata kuandika Jina lake Hafahamu hiyo Fomu kajaziwa na Nani?

Kati ya mambo muhimu yaliyokuwemo kwenye mapendekezo ya rasimu ya jaji warioba,lkn ccm wakakiondoa hicho kipengele cha elimu
 
Back
Top Bottom