PICHA: Hakika kuna watu wana vipaji sana duniani.Tazama picha hizi

Kwahyo mkuu umechukua picha za kwenye uzi wangu nawewe ukaamua kuanzisha uzi wako??Ref:'Ifike muda tuheshimiane.Ebu Angalia sanaa ya huyu chalii apa'..Tusirudie thread.
 
Huyo Da Vinci mwenyewe akasome kwa Michelangelo......
Huyo Da Vinci mwenyewe akasome kwa Michelangelo......
Hatii mguu hapo hio mizigo ni 3D na ni spray kama huwez kuchora hata panzi ni lazima uone kaz rahis hizo hapo juu
Nyie muache utani... hivi mnajua Maana ya Polymath.?
Michelangelo anashindanishwa na Davinci kwenye uchoraji tu.. wakati Vinci alikua anaweza kupafomu task zooooote dunia unazozijua tena kwa kiwango cha hali ya juu. Muziki,sayansi,anga,Phizikia,Biology,Unajimu,Ugunduzi nk nk nk....
 
Sasa kwani hapa tunaongelea masomo hapa ni sanaaaa ya uchoraji tu bayo maingi wake ni kuchonga.... Kama masomo kamtafute Tesla. Mnafeli kujitia ujuaji eti biology tunaongelea phyiscs hapa!!??
 
Image may contain: outdoor
Heshima yake Mkuu.
 
Hapa mkuu sijakuelewa, kuchora na kuchonga kinaanza kipi? design umeenda kinyume. au hii hoja inatetewa vp.?
Michelangelo amemza kuchora 3D miaka ya 1500 tena sio kuchora tu na kuchonga ...unayoona masanamu italia ugiriki karibu 70%ni kaxi yake... Jamaa alikuwa anasema kabla ya kuchora unatakiwa kujua kuchonga ili uchore ... Da vinci aliteseka sans
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom