PICHA: Hakika kuna watu wana vipaji sana duniani.Tazama picha hizi

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
Image may contain: one or more people
 
Hatii mguu hapo hio mizigo ni 3D na ni spray kama huwez kuchora hata panzi ni lazima uone kaz rahis hizo hapo juu
Michelangelo amemza kuchora 3D miaka ya 1500 tena sio kuchora tu na kuchonga ...unayoona masanamu italia ugiriki karibu 70%ni kaxi yake... Jamaa alikuwa anasema kabla ya kuchora unatakiwa kujua kuchonga ili uchore ... Da vinci aliteseka sans
 
Hapo picha zote ni 3D? Au kuna nyingine zimechongwa? Nimeona nyingine kama zimechongwa na kuchorwa.
 
Back
Top Bottom