Picha: Gamba jipya W. Malecela yuko wapi? Bilal akutana na Watanzania waishio New York

- Nilimuuliza Makamu maswali manne:-

1. Foleni za magari bongo: vipi serikali inajua na ina mpango gani?

2. Ajali za magari bongo: vipi serikali ina mpango wowote wa kuingilia kati maana wananchi wetu wanakufa sana.

3. TPDC: kwa nini kampuni ya mafuta Tanzania isipewe jukumu la kisheria kumiliki vituo vya kuuzia mafuta kupunguza uhuni wa bei na kuchakachuliwa mafuta!

4. Vituo vya mafuta ya magari Bara bara ya Dar to Morogoro: mbona vingi sana kuliko wanunuaji? Je serikali inajua kwamba vinatumika kuchakachua mafuta?

- Haya ndio maswali niliyomuuliza makamu na alitoa majibu pia na nilipta nafasi chemba ya kumuuliza kuhusu mambo ya CCM na magamba si unajua sikutaka kumwaga mtama kwenye kuku wengi!, ila one thing sikuenda pale kukenua meno na kusubiri picha! ha! ha! ha! TAIFA KWANZA KAMA KAWAIDA!

Thaanks!

William @ NYC, USA.

Vtu kama hivi japo mikutano ni ya CCM magamba ndo tunataka kusikia.

Thanks sana Mkuuu
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! Hilarious!, Woow did you allow someone to rob you your humanity? ha! ha! JF I love this game! ha! ha! ha! you are impressed now? ha! ha! ha! ha! ni mwendo wa kujivua vua ndugu yangu! ha! ha!

- Brother Waswahili wanasema akili nyingi huondoa maarifa, kwa kweli you are a genius mkuu, nimekukubali sana!: HOWEVER JF hatufahamiki sana na taifa kwa sababu ya picha, Mkulu Mwanakijiji hafahamiki sana na Taifa kwa sababu ya picha, CCM hawakuilalamikia JF kwa sababu ya picha, do I need to say more? ha! ha! ha! ha!

- Sasa mkuu nakupa homework, nenda utafute JF tunafahamika kwa nini?

William @ NYC, USA.

As far as I know from JF ni Mtoto wa Mzee wa CCM... In Jamii Forum Never explain yourself to any one.
Because the person who likes you doesn't need it and the person who dislikes you won't believe it
 
- Hoja yangu ya msingi katika hii thread ni kwamba Facebook ndio mahali pa kukenua meno na mapicha, sio hapa I hope now you can see clear my point, mwanzoni kabisa sikumuelewa mleta mada, lakini alipojibu tu ndio nikamuelewa anachokitaka na asichokitaka na ndio maana sasa kinaanza kueleweka!

- Nimesikia fununu kuhusu wanaotumwa kuja hapa, tatizo moja ni kwamba wana kazi ngumu sana mbele yao kwa sababu kuna yasiyowezekana kutetewa, HALAFU wengi wao nawaona kuwa na dharau sana ya kujiona wanajua sana kuliko wengi humu, matokeo yake wanaishia kuondolewa kwenye hoja zao za msingi na kuanza kufuata matusi na kejeli ya wanaowashambulia which defeats the whole idea ya wao kuja hapa kutuelimisha,

- Ukisoma kitabu cha GW Bush Decision, the main argument yake ni kwamba stand to your gun regardless of what in the end either uta-prevail au utapata compromise na the most important utapata heshima ya binafsi, ushauri wangu kwa wanaotumwa kuja hapa ni kwamba jaribuni kuwa na FACTS, ninashangaa sana kuona na wao wanakuja hapa na facts ambazo ni very fragile wka walioko jikoni, Pili waheshimuni wananchi hapa kwa sababu ni haki yao kuuliza maswali ya aina yoyote kuhusu serikali yao, acheni hasira na dharau ndio maana mnatolewa kirahisi sana kwenye hoja zenu na kupelekwa kichwa kichwa kwenye matusi na kejeli!

- Unajua juzi nimecheka sana kwenye ile topic ya Bashe na Kingwangala, ile thread ni mfano mzuri sana wa ninachokisema na nilikaa na kiongozi mmoja mzito sana wa serikali ya sasa nikamuonyesha jinsi wanaotumwa hapa walivyo na uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuielewa JF na yeye akacheka sana, maana you can tell waliotumwa kwenye ile thread na wasiotumwa, halafu nikamuonyesha jinsi walivyokimbia mapema sana baada tu ya kutikiswa kidogo, badala ya kukomalia hoja mpaka mwisho, hii ni mara yangu ya kwanza kutoa ushauri wangu kwa wanaotumwa I hope wamenisikia na sitarudia tena!

William @ NYC, USA.

Wanafunzi kwa kukosa uzoefu wa maisha na kiwango cha hekima na busara kukomaa wanahitaji kutumia kutumia dondoo kutoka mtu au watu fulani maarufu ili kutetea hoja, lakini aliyekwisha kuwa na ukomavu wa hekima na busara hahitaji kudonoa dondoo kutoka kwa watu wengine, maana akishakalia key board na kujua kinachoongelewa anabubujikwa na mengi kiwango cha kukatisha.
 
Mkuu vp dah, nimeku wait sana nimeku inbox fb na kuku pm bt inakataa.
Ok inshort kuna bro wangu mmoja alisoma na wewe kule kwiro sasa naona kama data anazonipa ni changa la macho anyway hebu niweke sawa mkuu ulipata div ngapi pale Kwiro. Then ulifaulu primary au nawe ulitumia tactics za kaka yetu wa nzega?
Sorry mkuu niweke sawa mana nahisi data za bro zina utata!
Sorry pia mkuu kama itakukwaza or kama noma kujibia hapa uta ni pm mkuu. Mm ni yule yule hope u r'mber me.

Hii imekaa kiudaku na hapa si mahala pake, na nimeongelea hapo nyuma tunaanza personal attack badala ya kujadili hoja iliyoletwa hapa. Na hata kama ni masikhara thats is too much. Lets be polite.
 
Hii imekaa kiudaku na hapa si mahala pake, na nimeongelea hapo nyuma tunaanza personal attack badala ya kujadili hoja iliyoletwa hapa. Na hata kama ni masikhara thats is too much. Lets be polite.

Usifikiri wote ni watu wazima, na watoto wapo wengi tu humu, siku moja facebook niliwahi kufanya Argument na mtu ambae simjuhi, baada ya kunikera sana ikabidi nifunguwe profile yake nikakuta amezaliwa november 1993, u can imagine.
 
- Well, mkuu sana kwanza unachanganya mambo mengi sana ambayo wala hayahusiani, kila ishu ina mahali pake na wakati wake, kuna ishus ambazo utangulizi ni hoja na kuna ambazo utangulizi sio hoja!

- HOWEVER: cha muhimu ni hoja tu!

William @ NYC, USA.

Unapojadili hoja kwa misingi ya mfumo wa fasihi huwezi kuandika kama mfumo wa sheria ni vitu tofauti. Mjadala katika JF kwenye thread ya Siasa ni sawa na usanii wenye hoja ambazo huhitaji mizizi, shina, matawi na majani yake ili maana ya mti ukamilike vinginevyo hatutakuwa na mti, bali majani, au gome, au mabaki ya mizizi au tawi alilokalia chakubanga na kukata kisha akaanguka nalo.

Naamini wengi wetu hapa wamepitia fasihi, english composition, effective speaking nk mashuleni au vyuoni, nitamshangaa mtu ambaye haeleni maana ya kutofautisha kinachoongelewa na dondoo za kutililia nguvu hoja inayojadiliwa. Mwanafasihi anapoongela mfumo wa ukiritimba katika tawala anapoweka dondoo fulani za mapenzi, au kilimo nk maana yake amechnganya mambo?

Wananchi kama hawa kwenye picha ni ndugu zako, next family reunion 'watengeni' hii ndio mwanzo wa mafisadi na signs ndizo hizi. Walikwenda US kutafuta maisha na sasa hali imekuwa mbaya or wanajaribu kufuata dark opportunities TZ, wanataka kugombani ccm na kuwatesa wananchi wao kama Nape na January walichokifanya. Evil will never win you people...

Katika hafla hiyo hata viongozi wa Jumuiya hiyo hawakuwa nyuma katika kutekeleza majukumu yao kama kawaida japo ilikuwa ni jumapili, hapa ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Miriam Abu (kushoto) na Mweka hazina msaidizi, Mzee Temba, wakiwa na nyaraka zao ambapo pia walikuwa wakiendelea na zoezi la kusajiri Watanzania wapya waliokuwa wakitaka kujiunga na Jumuiya hiyo.

Jumuiya hiyo ilianza kuwa active zaidi baada ya uchaguzi mkuu wa kuchagua viongozi wa kuiongoza uliofanyika mwezi April mwaka huu na kuwapata viongozi wapya kama Mwenyekiti, Haji Hamis na Makamu wake huyo, Katibu Vicent Mughwai na Katibu msaidizi, Shaban Mseba na Mweka Hazina, Phillip Lwiza na msaidizi wake, Mzee temba na sasa Jumuiya hiyo imejipangia majukumu na malengo mengi ikiambatana na mikakati kabambe ya kuwawezesha kusonga mbele katika kujikwamua kiuchumi na kuweza kusaidiana kimaisha.

Sehemu ya watanzania waishio New York na vitongoji vyake, wakianza kukusanyika kwa ajili ya kujiandaa kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa ajili ya kukutana na kuzungumza nao jana Juni 11, 2011.

Idd mtoto wa Kawe jijini Dar es Salaam (kulia) akijumuika na wadau wenzake katika hafla hiyo ya wabongo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal Balozi Obeni Sefue na Waziri Juma Duni Haji, wakisimama na kuimba wimbo wa maalum baada ya kuwasili kwenye eneo la hafla hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia Watanzania waishio New York na Vitongoji vyake wakati alipokutana nao kwa ajili ya mazungumzo nao na kuwatambua ikiwa ni mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo.

Pichani Juu na Chini;
Baadhi ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed gharib Bilal alipokuwa akiwahutubia.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio New York na vitongoji vyake, Haji Hamis akizungumza na kutoa utambulisho wa viongozi na wanachama wa Jumuiya hiyo, ambao hadi sasa wamefiki 110.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa jumuiya hiyo baada ya kuwahutubia.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wanachama wa jumuiya.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimia na baadhi ya watanzania hao ikiwa ni sehemu ya kuwaaga baada ya hotuba yake.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Zakhia Bilal akipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya kinamama wanachama wa Jumuiya hiyo.

Baadhi ya wabongo wakijisevia msosi wakati wa hafla hiyo.

Mchezaji wa zamani wa timu ya Balimi Fc ya Kagera Henri Rwekagingira (wa pili kushoto) akipozi na dada zake kwa picha wakati wa hafla hiyo.

Sufianimafoto pia alikuwa ni miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo hapa akipozi na mchezaji wa zamani wa timu ya Balimi Fc ya Kagera Henri (wa pili kushoto) na dada zake.(Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR).

Katika pitapita hapa na pale nimekutana na kauli hizi "I am a Capitalist which celebrates individualism","nilikuwa sana kwa Mwenyeliti wa Chadema" hazikuwa ni sehemu ya mada husika bali hadidu rejea lakini zimeshtua kidogo, najiuliza iwapo wanaccm tumeanza kuhubiri Injili kwa kutumia Quran; ingekuwa busara kwa mwandishi kutupa ufafanuzi kidogo hasa ukutilia maanani tunajitahidi kurudisha imani si kwa wanachama wetu bali watanzania.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
- Vipi mkuu umeona maswali niliyouliza? Nilikuwa na Mwenyekiti wa Chadema nilipokuwa bongo, mimi ni bepari vipi ametukwanwa mtu hapo?

William @ NYC, USA
 
- Vipi mkuu umeona maswali niliyouliza? Nilikuwa na Mwenyekiti wa Chadema nilipokuwa bongo, mimi ni bepari vipi ametukwanwa mtu hapo?

William @ NYC, USA

Mkuu hivi haujui kama kuna watu wanadhani siasa ni uadui? waulize kwenye familia ya nyerere kuna CHADEMA wangapi? na je uhusiano wa kimapenzi kati ya Sugu na Shyrose banji, unatatizo gani kwa hivi vyama viwili?
 
- Vipi mkuu umeona maswali niliyouliza? Nilikuwa na Mwenyekiti wa Chadema nilipokuwa bongo, mimi ni bepari vipi ametukwanwa mtu hapo?

William @ NYC, USA

Maswali uliyouliza sawa nayaafiki ingawaje majibu yake hatuyajui cha msingi ujumbe umefika. Sasa mkuu hii dhana ya UBEPARI huoni kama ni tatizo kubwa sana ndani ya CCM? Hujamtukana mtu lakini huoni kama unajitusi mwenyewe? Siamini kama misingi ya CCM imejengwa na dhana ya ubepari; kwa kada wewe kuwa na kauli hizo ni HATARI naamini kabisa CCM tulifanya makosa ndio sababu tumepata watu kama Rostam, EL na wengineo; Mwalimu aliwahi kusema UBEPARI NI UNYAMA na nafurahi unaishi kwenye nchi yenye misingi ya ubepari sina haja ya kufanunua zaidi.

Pole sana ndugu, kama ulikuwa hujui naomba nikufahamishe rasmi kuanzia leo. Tanzania ni nchi ya kibepari na CCM inafuata siasa za kibepari kama hulijui hili kuna tatizo kwenye mishipa yako ya fahamu.
Kwa kifupi CCM ni chama cha kiliberali kama CHADEMA.
 
Mkuu hivi haujui kama kuna watu wanadhani siasa ni uadui? waulize kwenye familia ya nyerere kuna CHADEMA wangapi? na je uhusiano wa kimapenzi kati ya Sugu na Shyrose banji, unatatizo gani kwa hivi vyama viwili?

Watu kama nyie ndio mnaoleta matatizo; ndio maana nilimalizia kwa kuomba ufafanuzi kidogo, sikuongelea mapenzi niemeongelea siasa wala sikuhubiri uadui wa kisiasa; hivi ukimona mtoto wako anaongozana na shoga utaacha kuuliza kulikoni?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Pole sana ndugu, kama ulikuwa hujui naomba nikufahamishe rasmi kuanzia leo. Tanzania ni nchi ya kibepari na CCM inafuata siasa za kibepari kama hulijui hili kuna tatizo kwenye mishipa yako ya fahamu.
Kwa kifupi CCM ni chama cha kiliberali kama CHADEMA.

Samahani umeirukia hii mada sidhani kama kuna unachoelewa nenda tena kasome misingi ya LIBERAL POLITICS na huwezi kuwa BEPARI wakati ni MASIKINI; Unapojiingiza kwenye mada tuliza kichwa usikurupuke kama unayetoka usingizini.

Hapa ndipo unaponichekesha, sasa kati ya mimi na wewe nani anatakiwa atulize kichwa? labda mimi sijui naomba unielimishe ccm inafuata siasa za mlengo upi? na Tanzania ni nchi ya mlengo upi?
 
Ebana eeh! Huyu angekua wa kutoka kule kwetu bukoba au kanyigo...infwakti wanyamuhanga wangemkoma munoo. Wakora sana....yaani....Wakora weitu @ NYC
- Mkuu wangu sana Lole, haina taabu nilikuwepo kwenye mkutano na nimeongea kidogo sana na Makamu privately kuhusu CCM, mleta mada ana lengo moja tu nayo ni kukipromote chama chake ambacho amesahau kwamba mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kukipigia sana debe hapa, Otherwise, ni mambo ya territory haya infact last two weeks nilikuwa na Mkuu Wa Dunia hapa Brother Richie Kasesela, we had a great time you know, kuhusu kujivua magambas hilo ninalifanyia sana kazi sasa hivi usiku na mchana, kwa sasa tumeunganisha nguvu na Tawi la CCM kule Houston, ambako mimi ni kiongozi pia na soon tutasimisha Shina la CCM hapa NY tukisubiri ok ya CC ili kusimamisha tawi rasmi la CCM If you will!

- Karibu sana tena mkuuwangu anytime, na Mkuu Lunyungu tuwasilane ndugu yangu, maana ni muda mrefu sana nimekuja
bongo sikukuona Bro, nilikuwa sana kwa Mwenyeliti wa Chadema na pia nilikutana sana waandishi wa Tanzania Daima pale juu, it was nice, so tuwasiliane mkuu maana ninakuja tena soon, lazima tuonane bro tujadili muelekeo wa Taifa!

- Mleta mada ana nia moja tu, nayo ni kunigombanisha na Viongozi wa chama cha Wa-Tanzania, ambao wengi ni marafiki wangu wa karibu sana, so! nimeongea nao tayari kuhusu hii ishu, anahangaika tu bila sababu!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu wangu sana Lole, haina taabu nilikuwepo kwenye mkutano na nimeongea kidogo sana na Makamu privately kuhusu CCM, mleta mada ana lengo moja tu nayo ni kukipromote chama chake ambacho amesahau kwamba mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kukipigia sana debe hapa, Otherwise, ni mambo ya territory haya infact last two weeks nilikuwa na Mkuu Wa Dunia hapa Brother Richie Kasesela, we had a great time you know, kuhusu kujivua magambas hilo ninalifanyia sana kazi sasa hivi usiku na mchana, kwa sasa tumeunganisha nguvu na Tawi la CCM kule Houston, ambako mimi ni kiongozi pia na soon tutasimisha Shina la CCM hapa NY tukisubiri ok ya CC ili kusimamisha tawi rasmi la CCM If you will!

- Karibu sana tena mkuuwangu anytime, na Mkuu Lunyungu tuwasilane ndugu yangu, maana ni muda mrefu sana nimekuja bongo sikukuona Bro, nilikuwa sana kwa Mwenyeliti wa Chadema na pia nilikutana sana waandishi wa Tanzania Daima pale juu, it was nice, so tuwasiliane mkuu maana ninakuja tena soon, lazima tuonane bro tujadili muelekeo wa Taifa!

- Mleta mada ana nia moja tu, nayo ni kunigombanisha na Viongozi wa chama cha Wa-Tanzania, ambao wengi ni marafiki wangu wa karibu sana, so! nimeongea nao tayari kuhusu hii ishu, anahangaika tu bila sababu!

William @ NYC, USA.

Aiseee lots of noises!
 
Mag3, not CCM and not anybody(not even CDM) will deliver you from the bondage of poverty.
If you think otherwise then you will have yourself to blame in old age.
You heard Mkapa the otherday castigating politicians who have tall tales of helping ALL wananchi from cradle to grave.
Nyerere tried it and he failed.
Dou get my poit?
Politicians are a rare creed of personalities who live by the day-I dont blame them, and they are very smart at it.
Now whether its CCM or CDM I dont see angels there.
What we can do is to shout out at their excesses, and in that we are doing alright, that is me and you.
To think that another nascent party like CDM can deliver us from bondage is a far cry.
Almost all politians have one resource- and thats their ability to talk, lie and shout.
With this capital they almost always end up being super rich-from the business of talking!

Sasa ndugu yangu chama hakitakupa elimu, niwewe mwenyewe
chama hakikupi biashara ni wewe mwenyewe
chama hakitakupa mikopo ya kujenga au kuanzia biashara, ni wewe mwenyewe
Shout all you can but at the end of the day go and feed your kids.

Aisee!!!
 
Back
Top Bottom